mkuu acha kuweweseka ulitegemea shughuli za kijeshi zifanyike porini tu? Kwani majanga yanatokea porini tu? Lazima mijini wapite na tujue wapo!
Je ufanisi wa bomu utajulikana kwa kubomoa nyumba ya mtu? Au kuharibu ardhi/mazingira wanamoishi watu? Wakati wenzetu wanafanya maoezi ya kijeshi jangwani, Bongo mazoezi yanafanyika uraiani sijui ni kuwatisha raia, kuwaua wenye magonjwa ya moyo, kufanya maonyesho, .....? Si lazima baba kuwapigia kelele watoto usiku ili wajue kama yupo.