Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

JWTZ kama kweli wanataka mazoezi wangeenda Syria, Somalia wajipime na ISIS na all shabab sasa haya mazoezi na raia ambao hata mgambo hawajawahi kwenda sijui kama yana tija.

Wakisikia ISIS wanatetemeka kazi kuonea wasiojua hata mguu uoanfe ni nini, waende kwa wanaume wenzao huko akina Shekau mchezo au yule ISIS mchinja watu
 
Ndugu zangu wananchi wetu wa Mbeya, msiogope tupo kwa mafunzo ya vita katikati ya mijini ili tuweze kuwafumbua macho nanyi wananchi mpate kujua kuwa vita ni nini na wale wakorofi wajue kuwa kuna vijana tupo tayari usiku na mchana kuwalinda nyie wananchi wetu, ila wale ambao Wameshtuka kwa jambo hili tunaomba msiogope.
 
Hebu acha upuzi wwe,
Hii nayo ni breaking News???
Nina shaka na hiyo content kama kweli imetolewa na JW.
 
Mbona military forces zilizoenda kufanya survey ya mipaka Malawi hamkulalamika, kwamba zinapita mjini na wananchi mlijazana Songwe kushangaa.
Ila hizi shake-off ndogo tu watu wanalalamika eti mabomu, yangepigwa mabomu yenyewe wana nchi wangepata ata nafasi yakulogin JF.

Mara hii wamesahau mtiti wa Gongolamboto!?
 
Safi sana wanajifanya wamevaa magwanda teh teh teh wamekutana na baba lao wengine wamevua teh teh teh wameona wakisachiwa watakutwa na mirungi kwenye mifuko ya magwanda!
 
Ndugu zangu wananchi wetu wa Mbeya, msiogope tupo kwa mafunzo ya vita katikati ya mijini ili tuweze kuwafumbua macho nanyi wananchi mpate kujua kuwa vita ni nini na wale wakorofi wajue kuwa kuna vijana tupo tayari usiku na mchana kuwalinda nyie wananchi wetu, ila wale ambao Wameshtuka kwa jambo hili tunaomba msiogope.
Vita ya kitu gani.., mbona hueleweki..
 
Mkuu pia waweza kujiuliza Kwanini isiwe mwaka huu? Nachokiona kwao ni kawaida tu muda na wakati wowote wakipenda wanaweza kufanya yao!kama wanasiasa wanafanya yao tena wanajiachia mpaka wanavimbiwa na kuanza akutukana ovyo wao wakifanya hakuna tatiZo wako nchini kwao!

nadhani itoshe tu kusema, jeshi haliko huru kwa kiwango kinacho tarajiwa!
 
Ndugu zangu wananchi wetu wa Mbeya, msiogope tupo kwa mafunzo ya vita katikati ya mijini ili tuweze kuwafumbua macho nanyi wananchi mpate kujua kuwa vita ni nini na wale wakorofi wajue kuwa kuna vijana tupo tayari usiku na mchana kuwalinda nyie wananchi wetu, ila wale ambao Wameshtuka kwa jambo hili tunaomba msiogope.
yaan post yako ya kwanza Jf ni pumba,,,hizo zijazo cjui itakuaje,.!!!??
 
Safi sana wanajifanya wamevaa magwanda teh teh teh wamekutana na baba lao wengine wamevua teh teh teh wameona wakisachiwa watakutwa na mirungi kwenye mifuko ya magwanda!

Teh Teh Bavicha wote chaliii wanasubiri Slaa atoe tamko!
 
  • Naona leo humu JF watu mumeamuka na viroba kichwani au umevurugwa huko mulikoamkia. Pole sana, hujui utendalo. Mimi nimekusamehe endelea kuenjoy jumapili njema.

hovyooo!, how old are you by the way?
 
Back
Top Bottom