Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
nadhani itoshe tu kusema, jeshi haliko huru kwa kiwango kinacho tarajiwa!
Kiwango gani hicho unachokijua wewe?ulitaka wakuvunje miguu?
nadhani itoshe tu kusema, jeshi haliko huru kwa kiwango kinacho tarajiwa!
Jamaa wana operation maalum leo vyombo vyote vya usafiri vinakaguliwa.
View attachment 262281 View attachment 262282 View attachment 262283
Teh Teh Bavicha wote chaliii wanasubiri Slaa atoe tamko!
We jamaa yaani hakuna siku umechangia bila kuitaja Cdm, hata MMU lazima uitaje cdm
yaan post yako ya kwanza Jf ni pumba,,,hizo zijazo cjui itakuaje,.!!!??
Kipindi hiki cha uchaguzi ndio sahihi kufanya kaguzi. Nyie wahamiaji ndio MNA wasiwasi.
Mkuu tatizo kubwa linatokana na Watanzania walio wengi kutopitia JKT, mtu aliye wahi kupitia Jeshini hawezi kubeza beza majukumu ya JESHI.
hao walionyoosha mikono juu kama ishara ya kujisalimisha ni wanajeshi pia au ni raia wa kawaida wanashiriki mazoezi yasiyowahusu?
kama jwtz wanakagua ugaidi na ujambazi bac polisi waende wakalinde mipaka ya nchi