Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

Watafanyaje vitu kama hivi bila kutoa taarifa kwa umma?
 
JWTZ wanafanya mazoezi walitoa tangazo kuwa zoezi litakua la siku 3 mainly tar22 na 23.
'kutakua na milipuko ya silaha kubwa na Ndogo'
 
Wametoka kupiga mabomu hata hapa uyole serikali ya ccm itatuua kwa presha mwaka huu
 
Wanadai wapo mazoezini ila wanaboa sana maana wanapiga mabom na risasi kuanzia mchana mpaka time hii
 
Znapigwa rasharasha tu zile za mazoezi hapo haijapigwa kitu yenyewe. Wako mazoezin washkaj siku nzma ya leo
 
Kwani mi naweweseka hapa, au nampa taharifa ?

Maybe am the one amongst those who maintain peace of the country !
who knows what a toad does underwater ?

mkuu acha kuweweseka ulitegemea shughuli za kijeshi zifanyike porini tu? Kwani majanga yanatokea porini tu? Lazima mijini wapite na tujue wapo!
 
Back
Top Bottom