Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Watu wa Mbeya jifunzeni kuambiwa ukweli. Huu mji bado sana jamani. Lengo la kuwaambia hivi ni kutaka mbadilike. Hivi zaidi ya baridi, kuna nini kingine? Haya naomba mnielekeze nitapata wapi biriani leo kwa mfano? Nataka kula biriani Leo hapa Mbeya
birian kwa maana ya kuw unataka upitiwe mlango wa nyuma

kama ni ivo njoo pm
 
Mkuu Chunya asilimia kubwa ya wakazi wa kule ni kina nani?

Wasafwa ni kabila kubwa Sana ila ni watu wasopenda makuu,Wasafwa wametapakaa wilaya ya chunya,Songwwe,wilaya ya Rungwe maeneo kama Ntokela,isyonje,namba wani,swaya,n.k

Cha kushangaza sasa nenda Arusha afu ulizia kabila la Wasafwa watakuonesha wapo bonde gani!!!

Wilaya ya Mbeya ndio asili ya Wasafwa hasa mitaa kama Majengo, Ghana,Igawilo, uyole,mbaliz,iwambi,iyela,kalobe,ikuti,n.k kote huko waliowengi ni Wasafwa mkuu!!!
 
Mwanza kote tu mie nakuelewa

Mjin Ilemela na Nyamagana kweli kupo vizuri sana sana Mkuu ,ila kwimba ,Magu ,Misungwi ,ukerewe na sengerema hazijaendelea kama wilaya za Mbeya Rungwe ,Kyela na halmashauri ya Mbeya vijini ,

Ila chunya bado sana pia level za Kwimba tu Mkuu.
 
Huko kwingine sina uhakika sana ila Majengo na Ghana nina uhakika na najua wapo wengi sana ambako Majengo na Ghana ni maeneo yaliyopo kwenye bonde la Mlima Loleza

Kumbe hujui lolote?!! sasa kwann unawtaja Wanyakyusa unapoizungumzia mbeya mjini?!!
Take your time,tembelea kata chache Tu za jiji la mbeya then utagundua ni kabila gani waliowengi mbeya mjini!
IGAWILO,UYOLE,ITUHA,ILOMBA,IZIWA,MWASANGA,IYELA,IYUNGA,ITENDE,KALOBE,IWAMBI,IDUDA,IKUTI,NSALAGA,GHANA,MAJENGO,Nsoho,n.k then ndo uje mjadala uendelee!

Ukitaka Mnyakyusa automatically utakuwa unataja maeneo ya kiwira,Keikei,katumba,wilaya za Rungwe kwa ujumla but wilaya ya mbeya na jiji lake ni WASAFWA mkuu!!!
 
Mkuu kuna msafwa mwingine tajiri anaitwa Sauli ana mabasi yake Sauli Express ambayo ndo the most luxurious buses kwa sasa yanayofanya safari za Dar Mbeya

Wewe acha uwongo huyu Sauli ni mnyaki anaishi pale ushirika wilayani Rungwe ,hadi kwake napafahamu.

Na ni mbunge pia wa Rungwe.
 
Wewe acha uwongo huyu Sauli ni mnyaki anaishi pale ushirika wilayani Rungwe ,hadi kwake napafahamu.

Na ni mbunge pia wa Rungwe.
Mkuu uyo sauli mbunge ana biashara ya magari yeye ni vipodozi na mahotel na nyumba za Kupagisha Hotel zake ni landmark Hotel
 
Mjin Ilemela na Nyamagana kweli kupo vizuri sana sana Mkuu ,ila kwimba ,Magu ,Misungwi ,ukerewe na sengerema hazijaendelea kama wilaya za Mbeya Rungwe ,Kyela na halmashauri ya Mbeya vijini ,

Ila chunya bado sana pia level za Kwimba tu Mkuu.
katika wilaya za Mbeya ukitoa wilaya ya mbeya mjini ni kyela pekee ndio imejitahidi sana kimaendeleo, Wanakyusa wa kyela wengi hasa vijijini wana nyumba bora za vyoo vya kisasa
 
Kumbe hujui lolote?!! sasa kwann unawtaja Wanyakyusa unapoizungumzia mbeya mjini?!!
Take your time,tembelea kata chache Tu za jiji la mbeya then utagundua ni kabila gani waliowengi mbeya mjini!
IGAWILO,UYOLE,ITUHA,ILOMBA,IZIWA,MWASANGA,IYELA,IYUNGA,ITENDE,KALOBE,IWAMBI,IDUDA,IKUTI,NSALAGA,GHANA,MAJENGO,Nsoho,n.k then ndo uje mjadala uendelee!

Ukitaka Mnyakyusa automatically utakuwa unataja maeneo ya kiwira,Keikei,katumba,wilaya za Rungwe kwa ujumla but wilaya ya mbeya na jiji lake ni WASAFWA mkuu!!!
Hakika
 
Nyanyake lazima this June niende mwenyewe huko Mbeya nikajionee maneno yaliyo andikwa katika thread hii
 
Ulikua wapi maana leo naona ndio umeibuka
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
 
Tanzania yote ni uchafu.Ivi unaanzaje kuponda Mbeya kusifia Dar.Harufu mbaya kila mtaa.pale kariakoo ni kama dampo la taka.No ustaarabu.Bado hujaenda tandika,keko mwanga,na maeneo mengine hovyo.Ndio maana nchi yetu ni masikini kwa ujumla wake.

Lakin badala ya kujikita kujenga mahotel na maroad basi tujikite kujenga maisha bora kwa watu.baadae maendeleo ya vitu yatakuja.
NB:morogoro ni moja kati ya miji bora kabisa niliyotembelea ukiondoa Dar na Mbeya.
 
Back
Top Bottom