Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

mi nawauliza madiwani wa mbeya : embu jiulizeni , kama angekuwa anatawala mkoloni , je kungekuwa na barabara moja tu, kutoka uyole mpka mwanjelwa ?????
 
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Upo sahihi kabisa, hiyo ndiyo wanaita eti Green City!
 
Jiji la kina TUNTUFYE, malafyale na fiatu fyake!
Kina Erythrocyte bado sana.
Hivi wanyakyusa wale wenyewe hasa kwa nini hawazipendi V na badala yake wanaweka F? Vyakula=fyakula, viatu=fiatu.
Jiji hilo bwana, kawaulize kina Mwakinyuke, Mwakimage, Mwandoloma,Mwakanyege na Mwakifyatu watakuambia!
 
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Jiji hilo bwana, kawaulize kina Mwakinyuke, Mwakimage, Mwandoloma,Mwakanyege na Mwakifyatu watakuambia!
 
Kwani ili Mkoa upewe hadhi ya jiji, wanazingatia nini?.

Kama wanazingatia idadi ya watu, ukubwa wa eneo kijeografia n.k, basi Mbeya inahadhi ya kuwa jiji.
 
Back
Top Bottom