Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

hahaha m sio mnyaki,msafwa wala mkinga ila nmekaa sana mbeya miaka zaid ya 7 narudia tena hakuna msafwa tajiri hapo mbeya

Afu hiyo tunduma ni songwe sio mbeya
Hata mimi sio mwenyeji wa Mbeya nimekaa Mbeya kabla hawajaigawa tokea miaka ya 90 hadi mbeya imekuwa jiji.Nimefanya biashara hapo mbeya kuanzia mitumba hapo docks(mwanjelwa) hadi Tunduma.Na nilikuwa kwenye jumuiya ya wafanyabiashara.Naijua mbeya na wilaya zake zote nimefika.Kote huko nimekanyaga hunidanganyi kuhusu Mbeya na Songwe.
 
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Ulitakiwa uweke kwanza vigezo vya kijiji na jiji, halafu ndio useme uliyosema.
 
Hata mimi sio mwenyeji wa Mbeya nimekaa Mbeya kabla hawajaigawa tokea miaka ya 90 hadi mbeya imekuwa jiji.Nimefanya biashara hapo mbeya kuanzia mitumba hapo docks(mwanjelwa) hadi Tunduma.Na nilikuwa kwenye jumuiya ya wafanyabiashara.Naijua mbeya na wilaya zake zote nimefika.Kote huko nimekanyaga hunidanganyi kuhusu Mbeya na Songwe.
Upo sahihi mkuu but nakwambia mi nafanya business mpaka Leo huko na narudia tena hakuna msafwa tajiri zaid ya shitambala na sijabaje kwa mbeya jiji maybe tunduma wapo wachache
 
Mbeya cityView attachment 1105542
tapatalk_1558605834997.jpeg
tapatalk_1558605829783.jpeg
tapatalk_1558605824191.jpeg
tapatalk_1558605818586.jpeg
tapatalk_1558605813529.jpeg
tapatalk_1558605765606.jpeg
tapatalk_1558605783103.jpeg
tapatalk_1558605778018.jpeg
tapatalk_1558605772333.jpeg
tapatalk_1558605791280.jpeg
tapatalk_1558605807077.jpeg
tapatalk_1558605801894.jpeg
tapatalk_1558605796173.jpeg
 
Hata mimi nashangaa.Huwa nikikutana na Wanyakyusa huwa nawatania nawaambia mbeya sio ya wanyakyusa.
Hio inatokana na wasafwa kuzubaa na kuukimbia mji yaan wao kaz kubwa kunywa ulanzi kusukuma mikokoteni na kugonga mawe
 
Hio inatokana na wasafwa kuzubaa na kuukimbia mji yaan wao kaz kubwa kunywa ulanzi kusukuma mikokoteni na kugonga mawe
Hahahahaa Wasafwa watu wa kazi wanyakyusa ni wavivu angalau wanawake ndio wanaojituma.Ila nina wasiwasi na uraia wako inawezekana una asili ya kyela au rungwe.Maana umeamua kuwasimanga wenye mji "wasafwa"!! Daah.
 
Hahaha hapana mkuu stokei huko but ukifka sehem kama mgen lazma ujifunze haraka kulko wenyeji so nlishawasoma hawa watu

Wanyakyusa weng n wavivu na robo tatu ya wahudumu Wa bar mikoa ya nyanda za juu kusin ni wanyakyusa kidogo na wangon
 
Hio inatokana na wasafwa kuzubaa na kuukimbia mji yaan wao kaz kubwa kunywa ulanzi kusukuma mikokoteni na kugonga mawe

Nmekuona pale juu acha kutukana wasafwa husikii😎😎😎😎,this is last warning,ukirudia tutakusahau humu jukwaani!
 
Nmekuona pale juu acha kutukana wasafwa husikii[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41],this is last warning,ukirudia tutakusahau humu jukwaani!
hahaha mkuu sijawahi tukana MTU hapa Jf kama nmekukwaza msafwa bas bana ila huo n ukweli
 
Kwa hapo nakubaliana na wewe wasafwa ndo wenye mji wa Mbeya lakini wengi wamekimbilia kuishi milimani huko hasa Chunya huko ndo wako wengi hadi imewafanya wajulikane kama asili yao ni Chunya

Fanya tafiti afu ujiulize,mbeya mjini ina kata 36,karibia kata 30 za jiji kabila la waliowengi ni Wasafwa!sasa huko milimani ndo wap?je unanifaham jiografia ya Rungwe? Wasafwa na wanyakyusa wap wanaishi milimani?!!!
 
Back
Top Bottom