Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Mbeya: Jiji au Kijiji kikubwa?

Ts true, mie mwenyew waga c lielewagi et Jiji, yaani Kuna miji ambayo ni mizuri n miundombinu mizuri, kuliko hilo Jiji.
 
Hahahaa yaani ulinganishe kwetu na kijijini???????

Una matatizo wewe..SI ajabu we msafwa maana ndo mazezeta ya mbeya hayo

Nitake radhi,unaanza kuleta ukabila hapa?!!Karne hii unazungumzia mambo ya ukabila!!!!!
Wasafwa wana uzezeta gani? au hujui maana ya uzezeta?
Umenikosea Sana mkuu,ningekuona ningekufanyia kitu kibaya usinisahau maisha yako yote!!!!!

Ukabila Karne ya 21!??!!
 
N
hahaha hakuna msafwa tajiri zaid za shitambala na sijabaje
Nenda Tunduma ukimtoa mkinga nani wafanyabiashara wakubwa wengine wazawa au hata hapo mbeya mjini.Wewe itakuwa ni mnyakyusa jiwe limekupata hahahaa.Wasafwa ni wachapa kazi sana."Zimbombo"
 
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Umefikia wapi nije nikuhamishe nikupeleke sehemu safi kabisa afu ulete mrejesho.
 
Bakini huko huko Dar kwenu. Tuachieni jiji letu. Huku hukuti wanaume wana upungufu wa Nguvu za kiume, misosi ni ya asili kabisa, sio ninyi Dar kila kitu feki tu! Hali ya hewa baridi utadhani tupo kwenye AC muda wote
 
N
Nenda Tunduma ukimtoa mkinga nani wafanyabiashara wakubwa wengine wazawa au hata hapo mbeya mjini.Wewe itakuwa ni mnyakyusa jiwe limekupata hahahaa.Wasafwa ni wachapa kazi sana."Zimbombo"
hahaha m sio mnyaki,msafwa wala mkinga ila nmekaa sana mbeya miaka zaid ya 7 narudia tena hakuna msafwa tajiri hapo mbeya

Afu hiyo tunduma ni songwe sio mbeya
 
Dah angalau sasa umeanza kuja taratibu. Kwa taarifa yako Mbeya ilikuwa na sehemu za kuangalia movie kama Avalon wakati ule Dar. Unajua zote hizo zilikufa for obvious reasons. Wakati ule ni mikoa michache sana ilikuwa na sehemu hizo. Hizi modern movie theatres ni kitu kingine kwa sasa.
Mbeya vipo vi supermarket vingi tu. Tatizo hujatembea na mwenyeji wako ndiyo hivyo tena. Restaurant ipi unataka? Kuna Hotels nyingi tu na zina restaurant. Tatizo ni mwenyeji wako.

Kama alikuja kwa basi aliishukia Uyole ndo Mbeya!njoo kwa flight na ukitua pale SIA tafta air port shuttle moja wakuoneshe viwanja vya kula bata then uje utusimulie hapa!
 
hahaha m sio mnyaki,msafwa wala mkinga ila nmekaa sana mbeya miaka zaid ya 7 narudia tena hakuna msafwa tajiri hapo mbeya

Afu hiyo tunduma ni songwe sio mbeya
Hahaha,ficha ujinga wako mini maana ya utajiri?research yako umeifanyia wap ili kujua Hilo?
 
Hivi unajua wanaangalia sifa zipi hadi sehemu iitwe jiji?
Au unadhani waangalia nyumba na vyakula?
 
Back
Top Bottom