Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,435
Watu huwa wanashangaza sana, hawa ndio huwa wanajitapa ni wajanja kwa kutaja sehemu aliyofika, utasikia, unaringa hata Iringa hujafika? Hahahaaa!Hakuna nyumba nzur?kwani ulitembelea mitaa gani?usije shangaa umeishia uyole!!!!!