Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,457
- 5,325
Mbeya hata upatikanaji wa vitu nishidaaa!Watu Wa Arusha ndio sifa yao kubwa na tofauti ya mbeya na Arusha ni hotel tu lakin angle zingine mbeya ni better than arusha
Mbeya hata upatikanaji wa vitu nishidaaa!Watu Wa Arusha ndio sifa yao kubwa na tofauti ya mbeya na Arusha ni hotel tu lakin angle zingine mbeya ni better than arusha
Vitu kama vipi?Mbeya hata upatikanaji wa vitu nishidaaa!
Vingi tuu..wala tusipoteze muda, kwa mtu anayejua maana sehemu kuitwa jiji na mwenye exposure atanielewa namaanisha nini.Vitu kama vipi?
hahaha Mwenye exposureVingi tuu..wala tusipoteze muda, kwa mtu anayejua maana sehemu kuitwa jiji na mwenye exposure atanielewa namaanisha nini.
Mbeya mlipendelewa sana kuitwa jiji. Yaani hivyo virestaurant sasa. Unachoka mwenyewe. Mbeya hamna hata sehemu ya kuangalia movie. Jiji halina supermarket!!!!!Tumia akili kidogo umepewa bure na Mungu.
Umefika Mbeya sehemu gani? Umetembelea maeneo gani? Yataje japo machache tu. Unaweza kufikia Uyole na ukaishia huko na ikawa ndiyo picha yako kamili ya Mbeya. Ni sawa na kufikia Buguruni kwa Mnyamani useme umefika Dar umekuta hali si nzuri. Au umefika kwa Mrombo Arusha na ikawa ndiyo picha ya Arusha nzima kwako.
Nimesema tumia akili kidogo. Umepewa bure hujanunua. Ili eneo litangazwe kuwa jiji lazima likidhi vigezo fulani. Mbeya ilikidhi siku nyingi mno. Unavijua vigezo hivyo? Sema kipi kimepwaya kwa Mbeya. Usidhani mtu anaamka usiku na kusema eneo fulani ni jiji. Sio kwa majiji tu, hata miji midogo ina vigezo vyake kadhaa.
Hujiulizi kwa nini miji mingine mingi tu sio majiji? Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Toa Dar inanuka mashombo, mkwajuni, mbagala,manzese, mwananyamala, kigogo etc ni vijiji na kuchafu sn cjui watu wa Dar jina lao ni wapi haswaTanzania miji ya kuitwa miji ni mitatatu tu nayo ni Dar,Mwanza,Arusha kwengine kote ni vijiji vilivyoendelea.
upo sahihi kuna vi min supermarket uchwara uhindiniMbeya mlipendelewa sana kuitwa jiji. Yaani hivyo virestaurant sasa. Unachoka mwenyewe. Mbeya hamna hata sehemu ya kuangalia movie. Jiji halina supermarket!!!!!
Na mimi niliwahi kulala pale chai yao kama unakunywa maji ya mtoni..afu vyumba vina harufu ya ajabu sanaAfadhari umesema kwenye chakula..nililala green apple sijui..pyee..misos ovyooo..nikawa nakunywa maziwa tu...bado kwakweli
Labda biriani ya mindizi ya kuchoma na moshi mkaaWatu wa Mbeya jifunzeni kuambiwa ukweli. Huu mji bado sana jamani. Lengo la kuwaambia hivi ni kutaka mbadilike. Hivi zaidi ya baridi, kuna nini kingine? Haya naomba mnielekeze nitapata wapi biriani leo kwa mfano? Nataka kula biriani Leo hapa Mbeya
Na mimi niliwahi kulala pale chai yao kama unakunywa maji ya mtoni..afu vyumba vina harufu ya ajabu sana
Upo sahihi, sijavutiwa na Ujiji wa Mbeya, hakuna uzuri na mvuto kama litakiwavyo kuitwa jiji, yaani Mbeya ukilinganisha na Moro, Moro KuzuriNimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Arusha nayo ni tamu sanaKwa Tanzania jiji ni Dar es salaam pekee. Hakuna mkoa mwingine wenye hadhi ya jiji.
Upo sahihi, sijavutiwa na Ujiji wa Mbeya, hakuna uzuri na mvuto kama litakiwavyo kuitwa jiji, yaani Mbeya ukilinganisha na Moro, Moro Kuzuri
Iringa mjini kuzur kuzidi mbeya...Watu huwa wanashangaza sana, hawa ndio huwa wanajitapa ni wajanja kwa kutaja sehemu aliyofika, utasikia, unaringa hata Iringa hujafika? Hahahaaa!
Iringa uzuri wake ni nn?Iringa mjini kuzur kuzidi mbeya...