Amahelu agho mwee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3]Mmaa gwee asukile na kumaso issaa kofiki? Tunkolileeko kuno uswe? Akomile ingafi
Ambayo iko Sumbawanga?Wewe utakuwa ulifikia Nonde
Hahahaha,nmekusamehe mkuu😂😁😂,kama unanifaham mbeya Vzur,bas waelimishe watu kuhusu uzuri WA mkoa WA Mbeya na. Jiji,usiwe kama wale wanaosema eti mbeya ni Uyole!mtembeze mtu huyo maeneo mbalimbali ya jiji na kata zake,kimkoa mtembeze Wilaya zote za mbeya na wenyeji WA Wilaya hizo!!!samahani mkuu nilikosea tu ila Mbeya naifahamu sana hunidanganyi kitu kila sehemu nimefika.
Nonde iko mbeya kubayaAmbayo iko Sumbawanga?
Ok kumbe Mbeya ni kubaya?? Ahsante kwa taarifaNonde iko mbeya kubaya
Mbeya mlipendelewa sana kuitwa jiji. Yaani hivyo virestaurant sasa. Unachoka mwenyewe. Mbeya hamna hata sehemu ya kuangalia movie. Jiji halina supermarket!!!!!
Jane Lowassa mrembo. Ulienda wapi? nilikuwa sikuoni humu.Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Kwa maana hii unataka kutuambia mleta mada yuko sahihi... si ndio?
[/QUOTE
Mbeya jiji,sio zur ukilinganisha na Dar na Mwanza hasa kimiundombinu😔😔😔,lakini viongoz ndio wanaoihujumu Jiji la mbeya!!!
Umenikumbusha mbali sana.Enzi za kina Bob G.Land cruiser imefanya magendo imekimbizwa nusu saa baadae unaikuta iko juu ya mawe hahaaa.Boda to boda hiyoSisi tuliofanya kuvusha power na sukari miaka ile kupitia tunduma na kasumulo tunacomment wapi?
Sasa hv huko ni vumbi tu na upepo hadi mwez wa 8. Hiyo green city ndio naisikia kwenye mitandao tu.ila sasa hiv hasa kuanzia wa 6 ni vumbi na upepo tu
😂😂😂😂😂😂😂😂Mbeya ni jiji na wakazi wake wengi weusiiii alafu wana meno meupeee pee.
Watu wangu wa Tukuyu A.K.A Tokyo piga keleleee😝😝😝 Kiwira Stand up😝
Nimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana
Uko sahihi kabisaNimefika Mbeya nimechoka mwenyewe. Nyumba nyingi siyo nzuri. Chakula kwenye migahawa usiseme. Yaani hamna kitu kwa kweli. Kazi ya ziada inahitajika. Bado saaana