Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

Salaam Wakuu

Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya.

Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa.

Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo.

Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza kumekucha.

Siasa ya Nchi hii ni ngumu sana na hii Nchi ni Ngumu. Mbeya Mara na Arusha Baba yao mmoja.

Tulia Ackson kaanza kwa Mguu wa kushoto kwenye hili.

View attachment 2754888

Pia soma;
Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi


Thread 'Kisa cha Kikwete kupigwa mawe huko Jijini Mbeya' Kisa cha Kikwete kupigwa mawe huko Jijini Mbeya

Thread 'Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!' Vurugu kubwa zazuka Chunya-Mbeya wananchi wadai madini yao!
Haa has huyu bi kiriboto kazi anayo
 
Mudaaa utaongeaa ,zumaradi alikamatwa akaachiwa now yupo mtaan anaendeleze alipoishia ...huyu naye atatoka na ataendeleza alipoishia
Aisee umemkosea sana Sifa, kumfananisha na kichaa Zumaridi
 
Nakumbukaga pale *njelii" kikwenga walimzinguaga sana wakati anapita

Huko chunya wakamjazia mawe njiani.

Asubuhi wavaa khakhi wakawa wanawasomba watu kuwaweka ndani.

Mbeya ni wabishi.

Mwakyembe na uwaziri alitaka kuleta dharau zake za usome mbele ya watu wakamzodoa na kumzomea.

MSITULIE najua fika mbeya Hana chake ila akisaidia na wizi wa KULA anaweza pita.
Si huwa wanasema ni mlokole? Walokole nao huwa wanaiba kura?
 
🤣🤣🤣uzuri mbeya tumejaliwa sauti za mziki wa injil
Sijamsikia bahati Wala matha wakiongea lolote
Washavimbiwa,wanabeua saivi
Wapi tapel mwamposa na Kaka yake lusekelo
 
Back
Top Bottom