Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,175
- 2,254
That's what I got when I was outside jf... Reconnecting with family and friendsKwa hiyo ni mimi tu ambaye sijawahi kuwa katika A 'list ya wana Jf maarufu
π€¨π€¨..
Yote kwa yote, tafuta watu wakupende mkuu maana obsession ya kutaka kuonekana na kukubalika kwa strangers. Si dalili nzuri
Ni kweli ila nia yangu kwa ID nyingine ilikuwa ni kufanya vitu vya ajabu na haikuwezekana maana ile mask yangu haiku fanya kaziKuwa na id's nyingi na kubadili badili jina ni dalili ya kutojiamini, seeking validation in jf? π€
Fanya hivyo zaidi ππΎThat's what I got when I was outside jf... Reconnecting with family and friends
Wewe ndiye unafanya utotoKuna mda utafika utaona haya yote ni utoto tuu
Sijui hata nikujibu vipi, you have delusional disorder mkuu. Nazidi kupata majibu, una shida!Ahahahaha mzee kwani Seran sio mali yako?
Daah kwani life la humu ni real!Sijui hata nikujibu vipi, you have delusional disorder mkuu. Nazidi kupata majibu, una shida!
Hapana, nilipewa lakini sikupewa ,lakini Nikapewapamekuaje ndugu au na wewe hukupewa zako while he was away?
Kwani kuna nini mlongo? Naona nimepitwa na vingi humuu.Kwa aibu uliyonayo,umeona ujizugishe kumung'unya kingereza na kiswahiliπ
Nawee ulipitwaa km mie? Woiiiih πππKulitokea nini nimemis umbea...ππ
Uduguu naomba nishushie hili PDF km lilivyo, najua lazima uliweka kwa ajiri yangu.Iβd yako ya kike vipi sasa tuwaambie mod nayo waiunge? Tatizo unapenda kujipa umuhimu na ujuaji.
Wewe role model wa nani πΉ
Wajinga hawaishi..!!