Duu haya basi ngoja tumwache achacharukeMambo ya matipo, huyo ana ids mpaka za kike ambazo huwezi kuzidhania hapa jukwaani..!! πΉπΉ
Huyo mabula ndo nani?πΉπΉπΉπΉ Huyo de gunner ana id mpk za kike na ile ya pawa mabula ni yake..!!
Katolewa ban id zake hizi mbili zilizoungwa bado zingine zina ban..!!
Mimi nilikuwa nao kwenye uzi mmoja hivi adriz de mbusii alikuwa anawashambulia na kutoa Siri zao zote za umiliki wa id zake mods wakaupitia..!! Nilikuwa busy sikuingia JF narudi nakuta ban zimetembea km njugu mpaka Adriz naye kapitiwa πΉπΉπΉ
Si weweHuyo mabula ndo nani?
Fita ni fita mula.! Sema nimependa umerudi kibabeDaah π aisee.
VishuNdgu yangu Poor Brain alidai anadonoa madini tukuka toka kwa huyu dogo wa buku bee
Udugu yani pawa mabula kumbe de gunner imagine πΉπΉπππ khaaah
PDF tayari udugu mie teeena hii ndio sekta yangu pendwa risiti lazima nikutunzie..!! πΉπΉπΉNawee ulipitwaa km mie? Woiiiih πππ
Uduguu naomba nishushie hili PDF km lilivyo, najua lazima uliweka kwa ajiri yangu.
Fanyaa kuniwekeaa km ulivyooo.
Alooooh
πΉπΉπΉ pawa mabula tulia.Wewe naona uwinga unekushinda sasa.
Mbona hatariii uduguu, JF ni pori, sio kichaka tena, Aloo.PDF tayari udugu mie teeena hii ndio sekta yangu pendwa risiti lazima nikutunzie..!! πΉπΉπΉ
JF ni kichaka chenye wanyama wakali πΉ
Kheeeh, kumbe ndo ilivyokua?Udugu yani pawa mabula kumbe de gunner imagine πΉπΉ
πππ mie nilipitwaa, napokea risiti za masijala,Hivi nyie mko serious kabisa kunifananisha na Takataka? π
Anajipa umuhimuπ€£π€£π€£Nan alisema we ni role model wake? Af sisi wenye followers zaidi ya 50 tusemeje sasaπ₯±