Usije kudhani watu hawaoni

Usije kudhani watu hawaoni

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,101
Reaction score
20,066
Kwanza kabisa official kuwa jina langu halisi la de Gunner limerudi kwa hewa..

IMG_20260818_193359.jpg
IMG_20260818_192949.jpg


Baada ya vile vyote vilivyo tokea.. Kuhusu kuchapwa ban na kuunganishwa ID. It was all for the better..

Imenijenga badala ya kunibomoa..

And y'all haters am back all charged up now.🔥🔥

Twende kwenye message...
Katika maisha kumekuwa na ile dhana ya watu kukata tamaa.. Wanakata tamaa just because hawaoni results, hawaoni validation kutoka kwa watu, au matunda ya kazi zao hayajioneshi mwanzoni.

Hii imewafanya watu waue ndoto zao na kurudi katika uhalisia unaowataka wawe hasa by outside noise. Sio kwamba watu hawaoni struggle yako, au sio kwamba unacho kifanya sio sahihi, bali bado matokeo hayajatokea ndo maana huoni pongezi.

Wengi katika maisha wako so attached by results ila hawatambui ya kuwa process ndo kila kitu..

Kwenye kitabu cha atomic habits, James clear anakwambia ya kuwa
" you do not rise to the level of your goals, you fall to the levels of your systems"

Mwana riadha hashindi kwa sababu amekimbia haraka kuwazidi wengine, anashinda kwa sababu mwili wake tayari uko accustomed na flexible kwa mazoezi endelevu.

Michael Jordan alifeli na kuiangusha timu kwa ku miss free throws mara kibao, ili aje kuwa the Goat kwenye kikapu

Thomas Edison alifanya majaribio elfu moja kabla ya kugundua bulb 💡

So tambua ya kuwa mafanikio sio overnight, yanakuja baada ya kufuata misingi.

Katika hali ya kawaida, mitandao ya kijamii imeharibu sana namna ya kuyaona maisha na eventually kuwa wavumilivu katika majukumu na mpango yetu ya kila leo. Na ndo maana mimi nimeamua kuweka mpango madhubuti kudhibiti screen time na kuweka jitihada zaidi katika kutumia hiyo free time kwenye kuongeza ujuzi na kukomaa systems zangu niweze kuwa bora zaidi.

Je, Ulishawahi kuwa na malengo ila reality check kutoka nje ilikuvunja moyo na kuacha mazima?

Every action you take is a vote to the type of person you wish to become
 
Haina haja ya kufungua nyuzi kuanza kutupa madongo kwa hao unasema haters... hili ni bandiko lingine naliona ukilalama kuhusu haters na ban..

Muda si mrefu huu uzi utakuwa uwanja wa kivita..
I'm just being me.

Kwani kuwa na haters ni vibaya? Mimi naona mtu anayekubalika na kila mtu atakuwa na kasoro pia..

I don't give a damn about what any one thinks
 
I'm just being me.

Kwani kuwa na haters ni vibaya? Mimi naona mtu anayekubalika na kila mtu atakuwa na kasoro pia..

I don't give a damn about what any one thinks
Sasa usilalame ukipigwa ban, maana jf niijuavyo wakishafahamu unachukulia vitu serious wataanza kukunanga hapa na kukutusi ili kukuharibia siku, mwisho wa siku utajaa kwenye mfumo utawajibu halafu unalambwa ban nyingine.. unarudi tena unafungua uzi wa haters na kupigwa ban...

Ila fresh kama una enjoy..
 
Sasa usilalame ukipigwa ban, maana jf niijuavyo wakishafahamu unachukulia vitu serious wataanza kukunanga hapa na kukutusi ili kukuharibia siku, mwisho wa siku utajaa kwenye mfumo utawajibu halafu unalambwa ban nyingine.. unarudi tena unafungua uzi wa haters na kupigwa ban...

Ila fresh kama una enjoy..
Issue ni kuwa am doing it for ego boasting na sijutii hata kidogo

Na katika maisha ukiishi kwa Matakwa ya watu wengine unakuwa mtumwa.

Am not down for that,..

Kwanza, this is off topic..

Mada ya leo ni pana sana tuishie humo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom