OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,775
Wajumbe leo ni jumapili tulivu, waumini wa madhehebu ya kikiristu wakijiwa kwenye harakati za kuelekea kwenye majumba ya ibada kwa ajili ya kumtumikia Mungu na Bwana wao Yesu Kristu.
Leo tutawaletea Live kutoka GRC Ubungo, kanisa la Lusekelo Mzee wa Upako Transfoma
Mahubiri ya leo yanategemewa kuwa motomoto sana, ikizingatiwa kuwa wiki hii Mchungaji huyu maarufu alitajwa kuliko yeyote katika vyombo vya habari hasa mitandao ya kijamii. Transfoma linategemewa kulipuka, Inategewa kuwa Mzee wa Upako kuibuka na kufunguka kuhusu ''mambo aliyosingiziwa'' kwa wiki hii nzima kwamba alikuwa tungi kwa kiwango cha kufunga mtaa
Nini mzee wa Upako Transfoma atafunguka kuhusu sakata lake, usiondoke