Mbashara J2: Kutoka kanisa la Mzee wa Upako, Ubungo

TUFUATE NENO LAKE,TUSIFUATE MATENDO YAKE,KWANI HAPO MWANZO PALIKUWA NA NENO NENO NAYE ALIKUWA NI MUNGU
 
-->>mtoa post lakini waumini wapo?..
-->>hiyo picha ya juu waumini wapo kama wana feelings fulani...
 
Tatizo la wachungaji wa kitanzania, wanapoanza huduma wanakuwa wako vizr sana, matitzo yanakuja pale Mungu anapo wapa mafanikio, wanajisahau sana vibur, dharau na matendo maovu huwa ndiyo maisha yao,.. Mm kuna wachungaji wa nje ya tanzania mf. Benn hinny au Pastor chris, tb joshua na wengneo hawanaga mambo kijinga kama wa hapa Tz
 
mshana jr hivi tabia sugu zinatibika?
KAMA umeshindwa kutibu tabia yako sugu Je ni aibu kwenda kwenye rehabilitation house?
Mzee wa Upako akubali matokeo, aende kwenye rehabilitation ya Nelson
Bujibuji hulka asili ya binadamu ni kujitetea na kuficha uovu hata kama amekamatwa red handed! Ni binadamu wachache mno wanaoenda kinyume na hii tabia ndio hukubali kutenda kosa fulani bila kujali udogo wala ukubwa wake
Lusekelo atajitokeza mbele ya jamii kanisani kwake akiwa kavaa sura ya upole na utetezi mwingi sana ili kujisafisha
Afanye hivyo ajisafishe aaminike aendelee kupiga pesa lakini akumbuke kutubu! Kapewa warning Mungu hadhihakiwi...
 
Leo mzee wa upako ataongeza idadi ya waumini vile asivyotarajia, kuna watu wamefunga safari waende tu wakamsikie akijitetea na kutenda dhambi nyingine ya kudanganya waumini ili ajinasue kwenye mtego
 
mtoa uzi update zikuje kuje basi, fanya kama wanavyofanyaga zile updates za kesi ya mzee wa maono kule a town
 
Kinawauma nini kama Mzee wa Upako atakuwa na "kondoo" wake? "Kondoo"???????????????????????????????
 
Bujibuji hulka asili ya binadamu ni kujitetea na kuficha uovu hata kama amekamatwa red handed! Ni binadamu wachache mno wanaoenda kinyume na hii tabia ndio hukubali kutenda kosa fulani bila kujali udogo wala ukubwa wake
Lusekelo atajitokeza mbele ya jamii kanisani kwake akiwa kavaa sura ya upole na utetezi mwingi sana ili kujisafisha
Afanye hivyo ajisafishe aaminike aendelee kupiga pesa lakini akumbuke kutubu! Kapewa warning Mungu hadhihakiwi...
Cro alishampima kiwango cha alcohol aje atuambie
 
Kama Mtumishi wa Mungu unakosa busara na hekima,je,waumini wako unawafundisha nini? Au upo pale ili kuchuma sadaka zao na matoleo ya kila siku?
Waumini tufikie hatua tuwe tunawahoji viongozi wa dini. Hatutaki viongozi wa dini wachumia tumbo. Yesu alidhihakiwa lakini bado aliendelea kuhubiri upendo,amani na mshikamano.
 
Back
Top Bottom