Mbashara J2: Kutoka kanisa la Mzee wa Upako, Ubungo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,779
102,153
DSC04972.JPG

Wajumbe leo ni jumapili tulivu, waumini wa madhehebu ya kikiristu wakijiwa kwenye harakati za kuelekea kwenye majumba ya ibada kwa ajili ya kumtumikia Mungu na Bwana wao Yesu Kristu.
Leo tutawaletea Live kutoka GRC Ubungo, kanisa la Lusekelo Mzee wa Upako Transfoma

Mahubiri ya leo yanategemewa kuwa motomoto sana, ikizingatiwa kuwa wiki hii Mchungaji huyu maarufu alitajwa kuliko yeyote katika vyombo vya habari hasa mitandao ya kijamii. Transfoma linategemewa kulipuka, Inategewa kuwa Mzee wa Upako kuibuka na kufunguka kuhusu ''mambo aliyosingiziwa'' kwa wiki hii nzima kwamba alikuwa tungi kwa kiwango cha kufunga mtaa

Nini mzee wa Upako Transfoma atafunguka kuhusu sakata lake, usiondoke
 

Attachments

  • mwigulu nchemba.jpg
    mwigulu nchemba.jpg
    18.6 KB · Views: 113
Hivi kumbe alisingiziwa.... Halafu anavyosema hapendi dharau niaje hapo, Yesu mwenyewe alidharauliwa lakini aliendelea kuwaombea waliomdharau hakufanya fujo, mi nadhani angefanya fujo kwa wale wanaomdharau Muumba iwe kama ule mfano wa Yesu pale Sinagogi walipoigeuza sehemu ya biashara
 
Uzi murua kuufuatilia,hata me Leo nilitamani kupiga kambi pale nishuhudie kwa macho yangu lakini kama jukwaa LA jamii forums lilivyokuu tumepata wawakilishi safi sana wakuu tunawategemea kwa kila hatua,taarifa plus mapicha ya kutosha....
 
Barabara ya kufika hapo ilisha kamilika?

Makorokoroni kumbe wapo vizuri kwa kufatilia maisha ya watu. Ni vizuri habari zao zikatumika kutoa ushauri.

Na washawasha!
 
Mbona tulishaambiwa ni mbabe mtaani mihera ya dezo ya ukubwani ni shida jamaa ana mihera mpaka basi miradi yake ni ma house girl mama ntilie na mapiga dili asiyotaka kusikia magu ikifika jumapili wanampelekea pesa zake wasipopeleka anawapiga mkwara atawashtakia kwa yesu watakomaje
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom