Mzee wa Upako: Ningekuwa Waziri Mkuu ningemshauri Rais uchaguzi 2020 aufute waliopo madarakani waendelee na nafasi zao

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
“Ningekuwa Waziri Mkuu, ningemshauri Rais Uchaguzi huu aufute kwa sababu ni gharama. Waliopo madarakani waendelee na nafasi zao, uchaguzi ufutwe ili kutoisumbua nchi."

Mch. Lusekelo (Mzee wa upako, Transformer)
Kanisa la Maombezi GRC

Note: Hawa ndio Wachungaji pendwa katika serikali hii. Mara nyingi huwa najiuliza waumini katika haya makanisa ya namna hii huwa wanataka kutendewa muujiza gani?

Ni Lusekelo huyu huyu ambaye aliwahi kuonekana hadharani akiwa amelewa chakari, lakini cha kushangaza waumini katika Kanisa lake wakamtetea kwa nguvu zote kuwa Mchungaji wao ni msafi kama pamba. Haikupita muda mrefu Mchungaji Anthony Lusekelo akakiri kwa kinywa chake kuwa yeye hanywi pombe kali kama konyagi na gongo lakini anakunywa Wine tu. Waumini hao hao waliomtetea awali kuwa hanywi pombe wakashangilia.

Ni Lusekelo huyu huyu ambaye aliwaambia waumini wa Kanisa lake kuwa kufa masikini ni ufala. Aisee! Yani waumini walewale masikini wanaomtajirisha yeye kupitia umasikini wake hadi anapata pesa ya kutembelea Land Cruiser VX na kununua Wine za kifahari ni mafala. Kwa kustaajabisha waumini hao hao wakamshangilia.

Tuna tatizo kubwa sana katika mind set za waumini haswa hawa wa haya makanisa ya watu binafsi. Lakini kuna tatizo kubwa sana katika mamlaka ya ku regulate na kusimamia haya makanisa.

Waumini wengi wanaibiwa, wanaporwa mali zao kwa mgongo wa kuamini MIUJIZA ambayo kimsingi haipo au ni feki ya kutengenezwa "fabricated and pre determined miracles". Wachungaji wengi kusema UKWELI MCHUNGU wana take advantage ya shida na umasikini wa waumini hawa kuwaibia na kujitajirisha.

Ndio maana kila kona mahubiri katika makanisa haya ni habari ya kupanda mbegu, kulanyaga mafuta ya upako, kunywa fruto ya upako, kunywa maji ya upako, kununua vitambaa, shuhuda za mtu aliyepata kazi ya uhandisi bila hata ya kuwa na elimu ya VETA, kupata kazi bila hata kufanya interview, kuuza mchicha usiozidi mtaji wa shilingi 5000 kisha ukapata faida kubwa kimiujiza baada ya kupanda mbegu ya shilingi 50,000 ukajenga nyumba ya ghorofa tatu na ukanunua gari la shilingi milioni 100 n.k.

Ni makanisa haya tunaona MIUJIZA feki ya kufufua watu, watu kunyweshwa jiki, mafuta ya taa na hata kuamriwa kuvua nguo za ndani ili waombewe wapate watoto na wachumba.

Ni katika makanisa haya tunaona Wachungaji wakitembea juu ya migongo ya waumini wao. Yani migongo ya waumini ndio imegeuka kuwa majukwaa. Hawakanyagi chini.

Chakusitikisha haya makanisa yanajaa waumini ambao kila uchwao wanadumbukia kwenye lindi la umasikini huku Wachungaji wao wakitumia umasikini wa waumini hawa kuwa mabilionea. Nani hakumbuki ulaghai, wizi na ujambazi uliofanywa na Wachungaji hawa katika sakata la kupanda mbegu la DECI? Waumini walilizwa mchana kweupe na ni mabilioni hayo ambayo juzi tumesikia tena Serikali badala iwarudishie waumini masikini waliolizwa fedha zao badala yake serikali nayo imetumia wizi huo kupora fedha hizo na kuzitaifisha eti zitapangiwa miradi ya maendeleo!

Ipo haja ya kuyapiga msasa haya makanisa na Wachungaji wake. Yasiyokidhi vigezo yafutiliwe mbali na Wachungaji wake wafutiwe leseni.

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti

1130222
 
Mkuu ungewataja wote kwa majina wachungaji makanjanja wanaotumia 'ujinga' wa raia kujitajirisha!

Wengine wanafanya madhambi ufichoni, wakiona haitoshi kufanya kiuficho,hujitokeza kuzini hadharani huku wakijirekodi, mtawafanya nini!

Wanapokuja kukanusha kijingsjinga, kanisa zima linaripuka kutetea na kusema wao na mchungaji wao damdam hadi kifo kiwatenge!

Wengine wanakamatwa na madiaba yamejazwa maburungutu ya fedha za sadaka za waumini, hadi wanakosa pa kuzipeleka!

Me nadhani dawa ya hawa matapeli wanaoibia watu kwa jina la Yesu, serikali ingelidwahibiti kama walivyofanya Rwanda.

Vinginevyo raia wataendelea kuibiwa kila uchao, maana hao mumiani wanaojifanya watetezi, kumbe ni chui waliovaa nozi za kondo na hawana huruma na umasikini wa watu.
 
Maoni yake kunasehemu pia alisema kati ya watu kumi wanaoijua hii nchi vizuri na yeye yumo,akaongezea kuwa anamfahamu haasy kisena vizuri sana sijui alikuwa anawatisha waandishi wa media uchwara au ni mbinu ya kuongeza waumini.
 
“Ningekuwa Waziri Mkuu, ningemshauri Rais Uchaguzi huu aufute kwa sababu ni gharama. Waliopo madarakani waendelee na nafasi zao, uchaguzi ufutwe ili kutoisumbua nchi."

Mch. Lusekelo (Mzee wa upako, Transformer)
Kanisa la Maombezi GRC

Note: Hawa ndio Wachungaji pendwa katika serikali hii. Mara nyingi huwa najiuliza waumini katika haya makanisa ya namna hii huwa wanataka kutendewa muujiza gani?

Ni Lusekelo huyu huyu ambaye aliwahi kuonekana hadharani akiwa amelewa chakari, lakini cha kushangaza waumini katika Kanisa lake wakamtetea kwa nguvu zote kuwa Mchungaji wao ni msafi kama pamba. Haikupita muda mrefu Mchungaji Anthony Lusekelo akakiri kwa kinywa chake kuwa yeye hanywi pombe kali kama konyagi na gongo lakini anakunywa Wine tu. Waumini hao hao waliomtetea awali kuwa hanywi pombe wakashangilia.

Ni Lusekelo huyu huyu ambaye aliwaambia waumini wa Kanisa lake kuwa kufa masikini ni ufala. Aisee! Yani waumini walewale masikini wanaomtajirisha yeye kupitia umasikini wake hadi anapata pesa ya kutembelea Land Cruiser VX na kununua Wine za kifahari ni mafala. Kwa kustaajabisha waumini hao hao wakamshangilia.

Tuna tatizo kubwa sana katika mind set za waumini haswa hawa wa haya makanisa ya watu binafsi. Lakini kuna tatizo kubwa sana katika mamlaka ya ku regulate na kusimamia haya makanisa.

Waumini wengi wanaibiwa, wanaporwa mali zao kwa mgongo wa kuamini MIUJIZA ambayo kimsingi haipo au ni feki ya kutengenezwa "fabricated and pre determined miracles". Wachungaji wengi kusema UKWELI MCHUNGU wana take advantage ya shida na umasikini wa waumini hawa kuwaibia na kujitajirisha.

Ndio maana kila kona mahubiri katika makanisa haya ni habari ya kupanda mbegu, kulanyaga mafuta ya upako, kunywa fruto ya upako, kunywa maji ya upako, kununua vitambaa, shuhuda za mtu aliyepata kazi ya uhandisi bila hata ya kuwa na elimu ya VETA, kupata kazi bila hata kufanya interview, kuuza mchicha usiozidi mtaji wa shilingi 5000 kisha ukapata faida kubwa kimiujiza baada ya kupanda mbegu ya shilingi 50,000 ukajenga nyumba ya ghorofa tatu na ukanunua gari la shilingi milioni 100 n.k.

Ni makanisa haya tunaona MIUJIZA feki ya kufufua watu, watu kunyweshwa jiki, mafuta ya taa na hata kuamriwa kuvua nguo za ndani ili waombewe wapate watoto na wachumba.

Ni katika makanisa haya tunaona Wachungaji wakitembea juu ya migongo ya waumini wao. Yani migongo ya waumini ndio imegeuka kuwa majukwaa. Hawakanyagi chini.

Chakusitikisha haya makanisa yanajaa waumini ambao kila uchwao wanadumbukia kwenye lindi la umasikini huku Wachungaji wao wakitumia umasikini wa waumini hawa kuwa mabilionea. Nani hakumbuki ulaghai, wizi na ujambazi uliofanywa na Wachungaji hawa katika sakata la kupanda mbegu la DECI? Waumini walilizwa mchana kweupe na ni mabilioni hayo ambayo juzi tumesikia tena Serikali badala iwarudishie waumini masikini waliolizwa fedha zao badala yake serikali nayo imetumia wizi huo kupora fedha hizo na kuzitaifisha eti zitapangiwa miradi ya maendeleo!

Ipo haja ya kuyapiga msasa haya makanisa na Wachungaji wake. Yasiyokidhi vigezo yafutiliwe mbali na Wachungaji wake wafutiwe leseni.

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti

View attachment 1130222
1. ....."Tuna tatizo kubwa sana katika mind set za waumini haswa hawa wa haya makanisa ya watu binafsi....." (NAUGA MKONO HOJA)

2. ....." Lakini kuna tatizo kubwa sana katika mamlaka ya ku regulate na kusimamia haya makanisa......" (SIUNGI MKONO HATA ¼ YAKE) mamlaka ikianza tutageuka na kuongea "jiwe anakanyaga Katiba/,ibara ya 19.

WAKATI UMEFIKA SASA WA KILA MMOJA WETU KUTIMIA AKILI AMBAZO MAANDIKO YANASEMA MUNGU ALITUUMBA KWA MFANO WAKE, (I.E NA AKILI KAMA ZAKE)

HII TABIA YA MIJITU KUJIDEKEZA "HATUNA ELIMU" INATAKIWA IFIKIE KIKOMO KATIKA MAMBO AMBAYO YANAHITAJI "A MERE REASONING/THINKING"

======= ACHA YAIBIWE TU, NA MIMI NASEMA YAIBIENI TU MAANA TUMECHOKA, HAKUNA NAMNA EEEE!!!! =======
 
Haya ndo maono ya “mitume na manabii” wetu. Anyway, labda mzee huyu wa upako anamaanisha Magufuleee na team yake watapora uchaguzi na ile dhana nzima ya uchaguzi haitakuwepo. So, hakuna haja ya kupotezeana muda na pesa huku watu wakiuawa na wengine kupata vilema vya maisha
 
“Ningekuwa Waziri Mkuu, ningemshauri Rais Uchaguzi huu aufute kwa sababu ni gharama. Waliopo madarakani waendelee na nafasi zao, uchaguzi ufutwe ili kutoisumbua nchi."

Mch. Lusekelo (Mzee wa upako, Transformer)
Kanisa la Maombezi GRC

Note: Hawa ndio Wachungaji pendwa katika serikali hii. Mara nyingi huwa najiuliza waumini katika haya makanisa ya namna hii huwa wanataka kutendewa muujiza gani?

Ni Lusekelo huyu huyu ambaye aliwahi kuonekana hadharani akiwa amelewa chakari, lakini cha kushangaza waumini katika Kanisa lake wakamtetea kwa nguvu zote kuwa Mchungaji wao ni msafi kama pamba. Haikupita muda mrefu Mchungaji Anthony Lusekelo akakiri kwa kinywa chake kuwa yeye hanywi pombe kali kama konyagi na gongo lakini anakunywa Wine tu. Waumini hao hao waliomtetea awali kuwa hanywi pombe wakashangilia.

Ni Lusekelo huyu huyu ambaye aliwaambia waumini wa Kanisa lake kuwa kufa masikini ni ufala. Aisee! Yani waumini walewale masikini wanaomtajirisha yeye kupitia umasikini wake hadi anapata pesa ya kutembelea Land Cruiser VX na kununua Wine za kifahari ni mafala. Kwa kustaajabisha waumini hao hao wakamshangilia.

Tuna tatizo kubwa sana katika mind set za waumini haswa hawa wa haya makanisa ya watu binafsi. Lakini kuna tatizo kubwa sana katika mamlaka ya ku regulate na kusimamia haya makanisa.

Waumini wengi wanaibiwa, wanaporwa mali zao kwa mgongo wa kuamini MIUJIZA ambayo kimsingi haipo au ni feki ya kutengenezwa "fabricated and pre determined miracles". Wachungaji wengi kusema UKWELI MCHUNGU wana take advantage ya shida na umasikini wa waumini hawa kuwaibia na kujitajirisha.

Ndio maana kila kona mahubiri katika makanisa haya ni habari ya kupanda mbegu, kulanyaga mafuta ya upako, kunywa fruto ya upako, kunywa maji ya upako, kununua vitambaa, shuhuda za mtu aliyepata kazi ya uhandisi bila hata ya kuwa na elimu ya VETA, kupata kazi bila hata kufanya interview, kuuza mchicha usiozidi mtaji wa shilingi 5000 kisha ukapata faida kubwa kimiujiza baada ya kupanda mbegu ya shilingi 50,000 ukajenga nyumba ya ghorofa tatu na ukanunua gari la shilingi milioni 100 n.k.

Ni makanisa haya tunaona MIUJIZA feki ya kufufua watu, watu kunyweshwa jiki, mafuta ya taa na hata kuamriwa kuvua nguo za ndani ili waombewe wapate watoto na wachumba.

Ni katika makanisa haya tunaona Wachungaji wakitembea juu ya migongo ya waumini wao. Yani migongo ya waumini ndio imegeuka kuwa majukwaa. Hawakanyagi chini.

Chakusitikisha haya makanisa yanajaa waumini ambao kila uchwao wanadumbukia kwenye lindi la umasikini huku Wachungaji wao wakitumia umasikini wa waumini hawa kuwa mabilionea. Nani hakumbuki ulaghai, wizi na ujambazi uliofanywa na Wachungaji hawa katika sakata la kupanda mbegu la DECI? Waumini walilizwa mchana kweupe na ni mabilioni hayo ambayo juzi tumesikia tena Serikali badala iwarudishie waumini masikini waliolizwa fedha zao badala yake serikali nayo imetumia wizi huo kupora fedha hizo na kuzitaifisha eti zitapangiwa miradi ya maendeleo!

Ipo haja ya kuyapiga msasa haya makanisa na Wachungaji wake. Yasiyokidhi vigezo yafutiliwe mbali na Wachungaji wake wafutiwe leseni.

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti

View attachment 1130222
Ajitibie kwanza aache longolongo
Utashangaa kuna wengine wanamuamini yupo jirani na Mungu
Kuna wengine ni maagent wa shetani
Tumekusikia Mzee wa utomvu
 
Back
Top Bottom