Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Sahihi kabisa mkuu, Tanzania si nchi ya kiarabu sasa kwanini tuchukue sana maneno toka huko, hayo ya nyuma yalitokea kutokana na mazingira ya wakati huo. Binafsi hilo neno silipendi kabisa, sina namna tu ya kulikataa, lakini "msema kweli ni mpenzi wa Mungu " silipendi.Hivi ni nani anauyerasimisha maneno ya kiarabu kuwa kiswahili karne hii? hayo yaliyopo yanatutosha kwani yalitokea katika karne za giza , kwani walishindwa kutohoa kutoka kabila lolote la kiasili?