Mazuri ya Edward Lowassa

Mazuri ya Edward Lowassa

Karibuni na operesheni safisha lowassa inayoongozwa na jk
 
mmumeshaanza na ulaji rushwa je,kama mnapenda kampikieni chai,Kambarage aliwahi waambia wapambe wa EL na akamuuliza we kijana kwa muda mfupi umepata wapi hela ya kujenga haya mahekalu huku akimuonyesha picha za majumba yake likiwemo alopongisha ubalozi wa sauzi enzi hizooo,pia muulizeni mzee Sabodo alivyomkurupusha huo jamaa yenu wakati alipokuwa wizara ya ardhi alipotaka kunyang'anya kiwanja ilipo upanga nursery kwenye makutano ya Maktaba na bibi Titi rd ,hicho kiwanja EL alitaka kumpa Abdul wa CMC motors,huyo ndio mchapa kazi,uchapakazi wake ulikuwa wakuchagua alikuwa anangalia nani wa kumfokea kama ni swahiba wake alikuwa hafanyi lolote-tuondoleeni porojo zenu za kutaka kusafishana hapa
 
Sasa mtoto wa mkulima 'atapewa' cheo gani baada ya EL kurudishiwa uPM?
 
Ama kweli baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana. Ni kwamba mmesahau au hamjui kilichoendelea au ni nini???? Hivi ni kwamba hii nchi haina watu wengine wa kufanya kitu ama??

Ni bora niendelee kuwa busy na mambo yangu.... kind of tired of nonsence!
 
Karibuni na operesheni safisha lowassa inayoongozwa na jk

Huyu ndiye waziri mkuu wa 2010, pinda ameonesha kuwa si lolote si chochote na kumchagua mtu mpya ni kuongeza idadi ya mawaziri wakuu wastaafu ambao wanaligharimu Taifa billions kuwahudumia mpaka wanapofikia mwisho wa maisha yao. EL is perfect man for the job kwani hata Six amesema kuwa alishituka na kujiuzulu kwake kwa ghafla kwani ni mchapa kazi mzuri. Hii yote ni kuwaandaa watanzania kumpokea mchapakazi katika nafasi yake. You must train yourselves to let again be under Prime-ministerial of EL.
 
Naona Thread za leo katika jukwaa hili nyingi ni kumhusu Lowasa tu.
naanza kupata mashaka sasa.
 
Nina mashaka na huu "ushabiki" wa EL
 
alikuwa anabana wenzake wanaoiba laki moja wkt yeye anakwiba mabilion yule alikuwa mchoyo tu alikuwa anataka aibe pk ake'
km angekuwa mwema sana na mchapakazi kweli asingeiba
mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzz alikuwa anajitendea kazi yeye mwenyew nt wananch
nawasilisha
 
Naona hii kampeini itafanikiwa na Lowasa ndiyo rais mtarajiwa wa mwaka 2015 - yaani miaka 20 tangu alipojaribu kwa mara ya kwanza mwaka 1995!!

Mimi huwa namuamni sana Albert Einstein alipotufundisha kuwa " Whoever is careless with the truth in small matters cannot be trusted with the important matters." Lowasa alishshindwa mambo mengi madogomadogo wakati akiwa Waziri Mkuu, itakuwaje aaminike kwa mambo makubwa kama kuiongoza nchi hii?

Wanasiasa wa Tanzania wanatufanya kama sisi ni watoto wa Hamelin, na wao watatupigia filimbi na kutupeleka kusikojulikana

Pied_Piper_with_Children.jpg
 
ha ha ha!
''OPERESHENI-SAFISHA-LOWASSA''

dah!naona imekotton fire
 
Sorry, Maovu yake yamefunika mazuri yote, hilo hata watu wa Mondulu wanalifahamu. Mhuni huyo!

Hakuna asiyejua kuwa EL ni mchapa kazi na anafaa, lakini aaa MWIZI bwana. HATUFAI huyo. Hivi ndugu zanguni ni nani aliye waambia ya kuwa Shetani akizeeka anakuwa Malaika?
 
The supreme quality for leadership is unquestionably integrity. Without it, no real success is possible, no matter whether it is on a section gang, a football field, in an army, or in an office.
Dwight D. Eisenhower

You don't lead by hitting people over the head - that's assault, not leadership.
Dwight D. Eisenhower

Overall, the challenge of leadership is both moral and one of developing the characteristics that make us respected by one another.
Louis Farrakhan

The key to successful leadership today is influence, not authority.
Ken Blanchard
 
Hakuna asiyejua kuwa EL ni mchapa kazi na anafaa, lakini aaa MWIZI bwana. HATUFAI huyo. Hivi ndugu zanguni ni nani aliye waambia ya kuwa Shetani akizeeka anakuwa Malaika?

Tatizo watu wamemuangalia sana NYANI usoni mpaka sasa wanamuonea huruma............tumesahau kumkoma Nyani Giladi...........EL hatufai Watanzania......PERIOD
 
Licha ya matatizo yanayomkabili lakini nafikiri ni mchapakazi hodari sana hata kuliko waliopo sasa, huyu ni Edward Lowassa.
 
Naomba hapa wana JF tuseme Mazuri ya EL aliyoyafanya katika nchi yetu.
MODs kwa sababu mimi nimeanzisha uzi huu atakayeleta matusi futeni comment yake.
Yafuatayo ni baadhi ya mazuri.
1. Bomba la maji toka ziwa victoria: Viongozi wote wa Tanzania waliogopa kuchuka maji kutoka ziwa victoria eti kwamba makubaliano ya nchi kandokando ya mto nile. Lakini kwa ushupavu wa EL leo hii watu wa mkoa wa Shunyanga wanafurahia maji toka ziwa victoria.
2. Misimamo yake na nia thabiti: EL anamisimamo iliyo thabiti na yenye kuleta maendeleo katika nchi, EL haogopi yuko tayari kufanya maamuzi magumu kwa faida ya nchi.

haya ni baadhi tu ta mazuri kama unajua na wewe basi tupia.
 
1.alifanikisha zoezi la richmond kwa ufasaha mkubwa sana hadi kodi za wananchi zikawa zinatumika kumlipa 152mio/day
2. akiwa waziri wa mifugo amefanikiwa kujimilikisha lanch za taifa kwa ufasaha mkubwa
3.akiwa waziri wa ardhi amefanikiwa kujimilikisha viwanja na ardhi ya kutosha
4.
 
Ninaomba muitoe.
 
Back
Top Bottom