Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Kumbuka mwanzo wa thread nimekuandikia. Labda hujasoma nikasema watu waongezee!!Hahaha..sawa mkuu, ngoja nisubiri hao wenye kuyajua mazuri ya EL kwa kuwa mimi "siyajui".
Kumbuka mwanzo wa thread nimekuandikia. Labda hujasoma nikasema watu waongezee!!Hahaha..sawa mkuu, ngoja nisubiri hao wenye kuyajua mazuri ya EL kwa kuwa mimi "siyajui".
1.alifanikisha zoezi la richmond kwa ufasaha mkubwa sana hadi kodi za wananchi zikawa zinatumika kumlipa 152mio/day
2. akiwa waziri wa mifugo amefanikiwa kujimilikisha lanch za taifa kwa ufasaha mkubwa
3.akiwa waziri wa ardhi amefanikiwa kujimilikisha viwanja na ardhi ya kutosha
4.
Kumbuka mwanzo wa thread nimekuandikia. Labda hujasoma nikasema watu waongezee!!
Lowassa yumo kwenye list of shame iliyotolewa Mwembe Yanga na Dr Slaa