Mazuri ya Edward Lowassa

Mazuri ya Edward Lowassa

Heri ya mchawi, kuliko mnafiki kama lowasa, kwanini mpaka leo amekaa kimya juu ya ukweli wa richmond.. Hana lolote ni mwizi tu huyo, kama si mwizi kwanini alikubali kujiuzuru.... Hujajifunza tu kilicho mpata arumeru yeye na mkwe wake, endeleeni kujidanganya na lichama lenu la wezi, wazinzi, na wachawi kila siku kwa waganga, mnadhani ikulu ni mahali pa kuchezea tu mpaka waganga wa kienyeji mnawaweka katika payrol ya kila mwisho wa mwezi kwa sababu ya kumganga dhaifu wenu na mavirus yake... Pole zenu, mungu wetu si kiziwi. Lowassa hana tofauti, mwakyembe au, mwandosya... Ni wanafiki watupu.
 
4.amekuwezasha pia wewe ndiyo maana upo hapa kila siku kumsifia.
5.
 
Heri ya mchawi, kuliko mnafiki kama lowasa, kwanini mpaka leo amekaa kimya juu ya ukweli wa richmond.. Hana lolote ni mwizi tu huyo, kama si mwizi kwanini alikubali kujiuzuru.... Hujajifunza tu kilicho mpata arumeru yeye na mkwe wake, endeleeni kujidanganya na lichama lenu la wezi, wazinzi, na wachawi kila siku kwa waganga, mnadhani ikulu ni mahali pa kuchezea tu mpaka waganga wa kienyeji mnawaweka katika payrol ya kila mwisho wa mwezi kwa sababu ya kumganga dhaifu wenu na mavirus yake... Pole zenu, mungu wetu si kiziwi. Lowassa hana tofauti, mwakyembe au, mwandosya... Ni wanafiki watupu.
Ninaomba uanzishe Thread yako inayosema mabaya ya EL.
 
Mkuu Annael, nisaidie katika haya;

1. Kwanini Tuseme aliyoyafanya Mh. Edward Lowassa(MB), vipi kwa wabunge, au wengine wastaafu?

2. Tutaje akiwa kama mbunge(MB) au na nyadhifa zingine?

3. Kwanini tuseme "mazuri" aliyoyafanya Mh EL tu, yale mabaya?

4. Tukishayataja, iweje?
 
1. Wabunge wengine siku nyingine tutawataja na kueleza mazuri yao, Ngoja leo tuongelee EL.

2. Nadhani A na B sawa.
3. Kwasababu leo tunataka tueleze mazuri tu siku nyingine tutaongelea mabaya yake.
4.Tukishataja kuna watu walikuwa hawajui mazuri yake basi watajifunza kutokana na uaminifu wetu wa kutaja mazuri ya EL.

NB: Kuna watu watakuja kutumia hizi comment zetu kwaajiri ya kujibia mitihani, kufanyia reseach nk.
 
Mnafanya jitihada za kuusafisha mkaa!!!
Au niwafananishe na mwanafunzi wa ufundi magari mtaani anaporipoti kwa mara ya kwanza hukabidhiwa tairi ya gari aisafishe iwe nyeupe, sio itakate, no Iwe nyeupe!!!! Ndivyo mnavyojihangaisha kwa/na lowasa.
 
Naomba hapa wana JF tuseme Mazuri ya EL aliyoyafanya katika nchi yetu.
MODs kwa sababu mimi nimeanzisha uzi huu atakayeleta matusi futeni comment yake.
Yafuatayo ni baadhi ya mazuri.
1. Bomba la maji toka ziwa victoria: Viongozi wote wa Tanzania waliogopa kuchuka maji kutoka ziwa victoria eti kwamba makubaliano ya nchi kandokando ya mto nile. Lakini kwa ushupavu wa EL leo hii watu wa mkoa wa Shunyanga wanafurahia maji toka ziwa victoria.
2. Misimamo yake na nia thabiti: EL anamisimamo iliyo thabiti na yenye kuleta maendeleo katika nchi, EL haogopi yuko tayari kufanya maamuzi magumu kwa faida ya nchi.

haya ni baadhi tu ta mazuri kama unajua na wewe basi tupia.

Yeah tumeona amefanya maamuzi magumu kuwaleta Richmond na kusaini mkataba nao mabao lee hii unasaidia wananchi kupunguza mgawo wa umeme pia wakati yuko Waziri mkuu alikshauriana na Kikwete wakaikubali kampuni ya Dawans so haya yote ni mafanikio ya Edward Lowasa Gamba pia tuliona alivyochukua maamuzi magumu kujiuzulu kwa madudu aliyofanya mwenyewe kwa hiyo ni uamuzi mgumu.Pia aliitwa gamba pacha lakini kutokana na maamuzi yake magumu kaamua kunyamaza na hapa hajajiuzulu tu kwa hiyo hapa napo ana moyo wa kusaidia wananchi wke pia ni mtu makni sana kwa kutua vijicent vya cahi kwa watu wa nchi yake ukiwemo wewe mtoa mada kwa hiyo hili nalo ni poa anajenga pia chama cha magamba.wanajitahidi,wanajaribu na huenda wakaongeza kasi zaidi
 
1. Wabunge wengine siku nyingine tutawataja na kueleza mazuri yao, Ngoja leo tuongelee EL.

2. Nadhani A na B sawa.
3. Kwasababu leo tunataka tueleze mazuri tu siku nyingine tutaongelea mabaya yake.
4.Tukishataja kuna watu walikuwa hawajui mazuri yake basi watajifunza kutokana na uaminifu wetu wa kutaja mazuri ya EL.

NB: Kuna watu watakuja kutumia hizi comment zetu kwaajiri ya kujibia mitihani, kufanyia reseach nk.

Sasa mkuu, yaani hao watu(ambao umesema hawajui) washindwe kujua "MAZURI" aliyoyafanya muda wote wa uongozi ( nyadhifa zote alizowahi kushika hadi sasa) na waweze kuutambua kwa thread hii?!

Hapo sehemu ya nne umesema watu walikuwa hawajui mazuri yake, inawezekana hakuna "mazuri" kwao na ndio maana hawasemi na kama hawajui hayo mazuri inawezekana wanajua mabaya...Then kwa nini tusianze na hayo mabaya watu wanayoyajua?

Sijui kwa wengine ila kwangu mimi naona kama unataka kumsafisha, na kama sivyo(yaani kamauna nia nzuri) then this is a wrong approach.
 
Kama haujui mazuri ya EL wapo watakujuza poa rafiki?
 
Usituondoleee uhuru tuliokuwa nao hapa jamvini wa kuchangia katika thread yoyote ile vile tunavyotaka. Wewe kama unataka kumpamba, kumsifia na kumremba mfalme fisadi Lowassa, wako wengi ambao hawakubaliani na yale uliyoandika na hivyo wawe huru kuandika chochote kile kibaya kilichofanywa na fisadi Lowassa ikiwemo wizi mkubwa wa pesa za walipa kodi ambao umemuwezesha kuwa bilionea.

Ninaomba uanzishe Thread yako inayosema mabaya ya EL.
 
Japo thread ni ya mazuri aliyoyafanya, Watanzania hatuchagui kiongozi based on track record!, Mwinyi, Mkapa na JK wote tuliwachagua bila kuwa na any track record wamefanya nini na wameondoka/wataondoka they almost did nothing!.

Ila sasa tutamchagua based on his capabilities, what he is capable of!.

Akiteuliwa na kuwa mgombea wa CCM he is capable kutupatia fursa ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania na hii nchi iugeuka toka jangwa la umasikini, ijinga na maradhi na kugeuka ni nchi ya maziwa na asali!. Kwa kifupi Tanzania itageuka ahera ya duniani in a split of a second!.
P.
 
Huyu fisadi Lowassa track record yake tunaijua na ni mbaya zaidi ukilinganisha na track records za akina Mkapa, Mwinyi na hata DHAIFU kabla hawajaingia Ikulu, hivyo makosa yaliyofanyika kwa kuwapa madaraka akina Mwinyi, Mkapa na DHAIFU yasirudiwe tena 2015 na kumpa fisadi Lowassa nafasi ya kuendeleza maangamizi ya nchi yetu. Fisadi Lowassa HATUFAI kabisa Watanzania.
 
Wachekeshaji wa mfalme naona leo wako busy kupita kiasi maana wanaona dalili za mfalme 2015 zinazidi kufifia.

"Wachekeshaji wa mfalme wao wanawajibika kwa mfalme, kumsifia, kuremba kupiga vijembe, kuwa vibaraka, kujipendekeza, kumpamba, lakini kubwa zaidi ni kumchekesha mfalme hata kama amefanya mabaya."

~Sitta
 
Pamoja na kashfa ya ufisadi bado hana chembe ya haibu usoni!
 
1. Alisimama kidete kuzuia bustani ya mnazi mmoja kuuzwa
2. Aliwatimua wababaishaji wa city water na hatimaye tukashinda kesi
3. Ni mbunge pekee ambaye kwa jitihada zake, amewezesha jimbo lke la Monduli kuwa na hosteli nyingi kwa ajili ya
watoto wa kike walio sekondari
4. Ni kiongozi mfuatiliaji. Hapendi kusikia risala za majukwaani. Hupenda kufika "site" kujionea mwenyewe
5.
6.
 
Back
Top Bottom