Mzalendo halisi..Lowassa hajajenga shule ya wasichana Monduli (Maasae Girls Secondary School) Hii shule imejengwa na fedha ya wafadhili (makanisa ya kilutheri) kutoka Marekani. Mwanzilishi wa hii shule ni mzee mmoja hivi anaitwa David Simonson na mkewe Eunice wote wamarekani waliyelowea Tanzania, Dave alikuja kama mmisionari miaka mingi sana na anaishi Ilboru Arusha. Ila Lowassa alipata kuwa kwenye bodi ya hiyo shule miaka ya nyuma na sio sasa hivi.
Capitol Hill, you are right, mzee Simonson na mke wake, mama naomi (Eunice)ndio waanzilishi wa shule ya wasichana wa kimasai monduli. huyu mzee amesaidia sana kuwaendeleza wamasai kielimu.Lowassa hastahili kupewa credit za kujenga hiyo shule. Selian Lutheran hospital vile vile imejengwa kwa juhudi za mzee Simonson kutafuta sponsors marekani.