Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #281
Hapana sichukiagiEti, Mama G! Umenichukia?
Hapana sichukiagiEti, Mama G! Umenichukia?
SawaLazma tuwe serious katika hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We tutakupa limbwata la kinyama awe na adabu
Ushindwe na ulegee katika jina la Yesu
halafu wale wanakupangia zamu ya kupika,ngozi zao zinanuka pia hawaogi wiki nzima hata wakiwa kwenye bleed,hawajui kupika mchuzi,hata pilau lile jeusi la ovyo ovyo hajui,akipigwa na jua hio harufu utamkimbia kwa kweli usioe,
Hatutaki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawaletea wakimbizi
We mwanamke, umeanza kumuonea wivu hadi kiba na mimi nipo?Uliona lile jicho la bibi harusi wa kiba kwa prince wetu,haki yule atamtesa mwanetu
[HASHTAG]#aachike[/HASHTAG] tu kwa kweli hatutaki atutesee mwanetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hivi nishindweje jaman hata Msumbiji
Yaa mtwara halaf kwa mbelee mweeeh!
Bora mzungu unatuletea mtoto wa kimataifa pia unawakilisha nchi sasa mtu anaoa rwanda,congo si anatudhalilisha tu
Malawi au Rwanda kote huko ni sawa kabisa mkuu!Mi ntaolea malawi ili mtoke mapovu zaidi. Badala ya kujiangalia mlipojikwaa mnaleta majungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufa tu nawe huna faida
Rwanda na Congo wako vizuri, USA hawana adabu, Hatuoi mali sie.Kabisa mkuu, asante kwa kuniunga mkono kwa hilo.
Mara ya pili tena?Lazma tuwe serious katika hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rwanda na Congo wako vizuri, USA hawana adabu, Hatuoi mali sie.
Mara ya pili tena?
Mambo gani hayo ya kutupeleka kwa Makonda?
Wanawake wa Ki-tz mnataka kutuzika jamani?
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unaanza kukimbilia kwenye mipaka sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Nasogea na mimi nionekane nimeolea nje
Ila usijali i have you babe, haendi nje mtu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishinda tabia ujue
Hata mimi naolewa na mzungu nachezea wotee halafu nakuja na mzungu hadi jf watuone halafu wataandika uzi wenye picha jueni ukizalishwa nje kamwe huingii ndani kamwe.