Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Nina Marehemu dadangu alikuwa anaumwa akasikia Burundi kuna dawa alivyopata nguvu akaenda,kila nkimpigia analalamika mavyakula mabaya jamani hawajui kupika,kila siku kilio chake hicho,maskini mpaka akafariki,kuna wanyarwanda nlikuwa nafanya nao kazi kuku,mayai dagaa alikuwa hajui na hajawai kula (akitoka kwao anakuja na unga wa ulezi sijui ndo wanapikia ugali kwao alivyokuja nao nikawafundisha kupika uji mwe mwe mwe nlijiroga wote wakajipanga wajifunze kupika uji),wachoyo jamani
Embu wanaume zetu bakini huku tuwakarangizie
Ulichokiongea ni kweli kabisa.

Ukitaka mapishi oa mwanamke wa Kitanzania.
Mimi nilipata mzungu wa kuoa kabisa na akawa ananililia lakini.

Hakuna mwanamke km mwanmke wa kitanzania.
Nimeoa nyumbani Tanzania
 
Kumbe ulikuwa unanilaghai
 
hata chai tu,hakuna chai tamu kama ya Tanzania,
Ulichokiongea ni kweli kabisa.

Ukitaka mapishi oa mwanamke wa Kitanzania.
Mimi nilipata mzungu wa kuoa kabisa na akawa ananililia lakini.

Hakuna mwanamke km mwanmke wa kitanzania.
Nimeoa nyumbani Tanzania
 
Ukifika huko wanakuchemshia matoke hata nyanya hakuna,halafu hao wananjunjana wenyewe kwa wenyewe na lazima azae na ndugu yake japo katoto kamoja(hapa lazima usingiziwe mtoto) nakujua ndo maana nakuambia utarudi na nitakupokea
 
weee Mama Sabrina hutaki tu kusema ukweli. Hemu jiangalieni kwanza mmekosea wapi? ama mnakosea wapi? ujue mtoto mpaka kuacha chakula anachopika mama yake na kwenda kula ka jirani hapo kuna walakin? Mbona hapo zamani hayakuwepo haya kwa nini sasa? ujue hapo kuna tatizo..
 
Back
Top Bottom