Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,623
Mosquito coil...Hahahaha basi kama huwa nakuchekesha vizurii ,na zile dawa za mbu za zamani za duara unazikumbuka ziliitwaje?
Ndio mbaki nyumbani sie tunanukia kama maua yaan mnakimbikia mizoga
Hapana ulipe mahali kwanza ndio uanze mechi ili ukiseoa hatuna hasara
