Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Aahh!wapi!wanatulizwa na pesaaaa!!!hakuna lolote!!!kama kweli wanawapenda mbona hawaolewi na wachimba chumvi!wanafuata wenye majina yao mjini!!!
Kwa sababu wachimba chumvu hawana access ya kukutana nao.
Ila mwanamke yyte wa nje hawez kushindwa kumkubali mwanaume wa kitanzania.
Yaan ushindwe hata kuoa mmlawi kweli!!
 
Ha Ha Ha kwenye kupika wale ndugu zetu wanajua kuchemsha makande tu ,githeri mchele kwao mpaka yesu au mtume akizaliwa,wanaume wetu jamani lakini why?
Jike nitakalo lioa kutoka Uganda au Rwanda, Nitalifundisha kupika maana mi sijambo kwenye anga hizo.
 
Kwa sababu wachimba chumvu hawana access ya kukutana nao.
Ila mwanamke yyte wa nje hawez kushindwa kumkubali mwanaume wa kitanzania.
Yaan ushindwe hata kuoa mmlawi kweli!!
Yaan unaoa watu tulio na ugomvi nao wanang'ang'ania ziwa Nyasa la kwao hivi una akili kweli
 
Back
Top Bottom