Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Mazoezi Nyumbani mechi ugenini

Ahahahaaaaaa ilimradi tuu atuharibie uchumi wa nchi yetu.
Ni afadhali tuoe Rwanda, au Burundi na kwingineko ktk Africa hii, Kuliko kuoa America ambako mpango wao ni kuharibu vizazi vya Waafrika wasizaliane pamoja na kuwadunga sindano za Vvu,Kansa, pamoja na kuwafanya watoto wa Kiafrika wawe na akili taahira.
 
Basi sawa hamna neno
 
Ongea point ueleweke, yani tangu nilivyo anza kusoma uzi wako tangu mwanzo had mwisho hauna mashiko kabisa yani ni pointlessness kabisa yaniau unatumia viroba, mapenzi yapo kokote na wote ni binadamu, jifunze kutumia lugha nzuri JF,

The way u see it mkuu, kama usingekuwa na mashiko ungekuwa na wachangiaji wote hawa??
 
Kwani kuna wanawake wangapi bongo hawajui kupika?
Je ni wanawake wangapi bongo hawakogi???
Je ni wanawake wangapi bongo wana maji?
Je ni wanawake wangapi bongo wanajua kusafisha papuchi???

Hakika hakuna mkamilifu hayo mapungufu walionao majirani zetu hata kwetu yapo..Pia wanawake bora tuliona hata kwa jirani zetu pia wapo...
 
Pole Jamani,njaa Kali sana mtaani wadada si wabunifu kutafuta pesa,ila tafadhali usiende nchi zingine,kuna wanawake wazuri nje na ndani kibao
Afadhali hiyo, maana kila mwanamke nikikutana nae tukabadilishana namba, ndani ya dk 5 napigwa kizinga,unakuta "my naomba nitumie 5000 ya vocha".......
Sijui wananionaje .....
 
Ongea point ueleweke, yani tangu nilivyo anza kusoma uzi wako tangu mwanzo had mwisho hauna mashiko kabisa yani ni pointlessness kabisa yaniau unatumia viroba, mapenzi yapo kokote na wote ni binadamu, jifunze kutumia lugha nzuri JF,
Katumie lugha nzuri kule jukwaa la Elimu kaka
 
Kwani kuna wanawake wangapi bongo hawajui kupika?
Je ni wanawake wangapi bongo hawakogi???
Je ni wanawake wangapi bongo wana maji?
Je ni wanawake wangapi bongo wanajua kusafisha papuchi???

Hakika hakuna mkamilifu hayo mapungufu walionao majirani zetu hata kwetu yapo..Pia wanawake bora tuliona hata kwa jirani zetu pia wapo...
Rudi nyumbani kaka yangu,cha jirani cha jirani tu
 
Back
Top Bottom