Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
- Thread starter
- #261
Wale ni wanawake wa humu tu wamezaliwa humu bana waoe nyumbanihamna anaewafata wanakuja rwanda..unaongea ukiwa hujui kuwa watz ni ndugu wa wanyarwanda ni mipaka tuu imetenganisha...Ila ukanda wa kagera, geita, shinyanga,kigoma wamejaa watz Wenye damu za kinyarwanda, kikongo na kirundi...usiogope ushindani just be better
Wanaume wetu wazuri wanaume mfano wa ghana wana vichwa kama milima


