Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Nature ya maziwa yakikaa kwenye joto huwa yanaganda. Na hii inatoka na natural enzymes walioko kwenye maziwa ya ng'ombe amboa ukibadilisha mazingira yaani joto. Wanakuwa active na kufanya kitu inaitwa fermentation na kama maziwa sio ya ng'ombe au yamewekwa kemikali basi hiki kitu huwa hakitokei na maziwa yanawdza kaa kwenye mazingira yoyote. Mfano ni maziwa ya azamHayo Tanga fresh yenyewe si halisi...Umeme.ukikatika nayo yameganda au yanakatika...