Ahsanta maalim kwa kumuweka sawa huyu kimburu.We mzima kweli?
Nahisi una chuki na Kahtaani haya hapo udini uko wapi?au wewe ulitoa hoja zako huku ikijua umeilenga dini fulsni ukisubiri watu unaowahisi wa dini hiyo wajitokeze? Kajipange na upofu wako wa fikra na chuki iliyokomaa dhidi ya watu wa imani fulani ndorobo wee!mijitu kama hakika mlipaswa mkaishi rwanda burundi na kenya ndio watu wanaoabudia ubaguzi wa aina zote!

Tatizo ni ukosefu wa ajira kutoka Azam mkuu.Bidhaa za Azam siziamini kabisa sijui kwanini.
Bi mkubwa Una ushahidi upi kuwa Maziwa ya Azam SIO MAZIWA?Hayagandi azam kwa kuwa sio maziwa
Tanga fresh ukiyaweka kitika freezer unatumia for somedays
ww na huyo kiroboto kahasijui tan ni wapumbafu mnaleta udini kwavile tu azam muislam....... ingekuwa hayo maziwa ni ya Josef mngevaa hata vyupi kichwani bila kujali madhara ya huu uchafu unaoitwa maziwa ya azam ..... . shenzi zenu na Dini yenu mchewwww.We mzima kweli?
Nahisi una chuki na Kahtaani haya hapo udini uko wapi?au wewe ulitoa hoja zako huku ikijua umeilenga dini fulsni ukisubiri watu unaowahisi wa dini hiyo wajitokeze? Kajipange na upofu wako wa fikra na chuki iliyokomaa dhidi ya watu wa imani fulani ndorobo wee!mijitu kama hakika mlipaswa mkaishi rwanda burundi na kenya ndio watu wanaoabudia ubaguzi wa aina zote!
Bora umenena huyo Ally kacomment kwa kuwashwa tu, sijui hata kama limesoma. Kulikuwa kuna haja gani ya huyo khataan kutaja divai za kanisani na mambo ya Christmas? Kama sio kuendekeza udini?ww na huyo kiroboto kahasijui tan ni wapumbafu mnakutana udini kwavile tu azam muislam....... ingekuwa hayo maziwa ni ya Josef mngevaa hata vyupi kichwani bila kujali madhara ya huu uchafu unaoitwa maziwa ya awamu kukashf... shenzi zenu na Dini yenu mchewwww
mpuuzi sana huyo Kahatan yaani kwenye mambo crucial analeta dini usengejazbend.....Bora umenena huyo Ally kacomment kwa kuwashwa tu, sijui hata kama limesoma. Kulikuwa kuna haja gani ya huyo khataan kutaja divai za kanisani na mambo ya Christmas? Kama sio kuendekeza udini?
Yale ni maziwa ya unga, sijui wanayatoa wapi. wajanja sana, wanaongezea maji tu. kwanza ng'ombe wenyewe wako wapi
We vipi jombaa,ladha tena?Unamaanisha brookside hayana ladha iliyo kamili na tena sio freshi?Kweli binadamu hawatosheki.Duh!Navoona suluhisho kwako kilichobaki ni mkagongane vichwa na ndama nyote mkibishania atakaye kunywa maziwa yale freshi kabiiisaaa,mojamoja kutoka kwenye matiti ya ng'ombe!Liko wapi hilo shamba? Taja mahali lilipo
Jamani, sio kila lalamiko limeambatana na wivu. Sometimes ni ladha tu zinazotofautisha mlaji A na B
Neno
Shamba la Azam anakofuga mifugo liko mkoa gani hata Tanzania? Swali hili lijibiweWe vipi jombaa,ladha tena?Unamaanisha brookside hayana ladha iliyo kamili na tena sio freshi?Kweli binadamu hawatosheki.Duh!Navoona suluhisho kwako kilichobaki ni mkagongane vichwa na ndama nyote mkibishania atakaye kunywa maziwa yale freshi kabiiisaaa,mojamoja kutoka kwenye matiti ya ng'ombe!
Tatizo ni ukosefu wa ajira kutoka Azam mkuu.
Ungekuwa umeajiriwa wala usingeandika haya.
Na pili Huenda ikawa umezoea mihogo na michembe.
Sasa ukila keki ya Azam ukateremshia na Milk shake yake unaweza Tapika mpk ukamaliza maji mwilini.
Ahsanta.
Shamba la Azam anakofuga mifugo liko mkoa gani hata Tanzania? Swali hili lijibiwe
Ngongo labda utusaidie Hapa kitu kimoja.Mheshimiwa kahtaan Kamwezi siwezi kuomba ajira Azam wala hata wazo la kuajiriwa sehemu zinazofanana na Azam halipo kabisa.Bidhaa nyingi za Azam zipo chini ya kiwango mara ya mwisho kutumia bidhaa za Azam ni mwaka juzi hasa juice yake ya Embe baada ya kugundua haikuwa juice halisi nikaacha kabisa kununua na kunywa juice ya Azam.
Mbona hii kali, walishauliwa wafilisike! Labda huu ushauri ulitoka kwa joka lenye makengeza.Walikwepa kodi kwa kipindi kirefu baadaye wakashauriwa wafilisike
Ngongo labda utusaidie Hapa kitu kimoja.
Hivi kiwango cha bidhaa hasa ya vinjwaji na Vyakula inapimwa kwa midomo?
Unaposema ni kiwango cha chini una maana TBS wametoa Certificate kea bidhaa hizo kimakosa? Au walipewa rushwa kudanganya watu km wewe?
Naomba jibu hapo.
Na km wewe hutaki ajira ya Azam basi kuna watanzania zaidi ya Laki 5 wameajiriwa na Azam.
Unachotakiwa ni Kumuombea Mungu aendelee kugawana na wenzake Rizki.
Ahsanta