kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
Kwahii Azam katoa Rushwa Kupata hio TBS Certificate sio?Hivi unajua hizo certificate za TBS zinavyotolewa ?.Hivi unajua hata zile certicate za IPC zinavyotolewa ungeshangaa sana sana ukiwa na uwezo wa kuwakirimu auditor wanakupatia certificate.Jiulize ni kwanini juice za Azam hazikatizi Kenya ?
Wacha kuzunguka zunguka.
Weka wazi maneno yako halafu dola ikusome hapa ili uwasaidie polisi kuwasontea hao unawaita "auditors ".
Nasubiri Jibu
Na kwa Taarifa tu Kenya ni wala rushwa wakubwa kuliko Tz.
Uamuzi wa kukubali au kukataa bidhaa fulani hakumaanishi Kiwango chake kuwa kidogo hatta siku moja.
Kenya bangi na Miraa iko kila kona itakuwa juice ya Azam?