Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Ushauri sasa sijui utafuatwa?Mfanya biashara km Azam hawezi kufanya upuuzi wa namna hio hata siku moja.
We unafahamu kosa la Kuwauzia wananchi Chakula au kinywaji kilicho nje ya kiwango?
Kwa upuuzi huo anahatarisha Kufungiwa VIWANDA VYAKE VYOTE na Kupigwa Faini ya mamilioni ya pesa.
Maziwa ya Azam yananywewa na Mamilioni ya watanzania.
Sasa itokee hata watu 100 tu wapelekwe hospital kwa matatizo ya hayo maziwa Ujue Azam tumo ktk SHIDA kubwa sana.
Hawa wanaohara ovyo ni Walevi wa Pombe za buku jero!
Ukute maisha yake yote bia anakunywa Christmas mpk Christmas au apewe divai ya bure kanisani.
Matokeo yake tumbo limezoa Gongo. Sasa likikutana na maziwa hali ya kuwa liko Tupu anahara ovyo .
Watakufa Kwa Gongo hawa watu.
Ila nimecheka sana huo mstari wa mwisho.