Maziwa ya Azam siyaelewi!

Maziwa ya Azam siyaelewi!

Yale ni maziwa ya unga, sijui wanayatoa wapi. wajanja sana, wanaongezea maji tu. kwanza ng'ombe wenyewe wako wapi
Na wewe si uchanganye maziwa ya unga na maji Uuze km yeye.!
Kwani we unapenda kufa Maskini?

Roho mbaya tu.
 
Umetaja Tanga fresh doooo!!
Aisee bora nikae kimya!!
Asas au tanga fresh,azam mjanja mjanja ase
But huwa najiuliza kuna makampuni ya maziwa mwaka mzima wao wanazalisha tu hakuna cha kiangazi wala masika, but kwa nikinilivogundua (kiasi) asas kuna msomi maziwa yanaoungua hii ni kutokana na hali ya hewa (nyasi) sasa hao wengine mh!!
 
ngano,,pole

sorry sikuambii wewe ila





Kuna majitu humu Yanaleta udini Hadi kwenye Afya za watu shame on you.......
najua unatanijibu tu maana huwa kwenye udini huwa unadikiri kujitoa Ufahamu unafikiri kwa Kutumia kile kichwa cha ndani ya Sarawili... Cha juu hakifanyi kazi blali fool wahed
 
Last edited:
Unaharibu biashara za watu kama umeona hayafai usiyamwe koma usirudie tena!
 
Umetaja Tanga fresh doooo!!
Aisee bora nikae kimya!!But huwa najiuliza kuna makampuni ya maziwa mwaka mzima wao wanazalisha tu hakuna cha kiangazi wala masika, but kwa nikinilivogundua (kiasi) asas kuna msomi maziwa yanaoungua hii ni kutokana na hali ya hewa (nyasi) sasa hao wengine mh!!
Kaakimnya ufiche ujinga wako bana, Maziwa na upatikanaji wake hautegemei majira kabisa. Wala majani mabichi sio factor ya ng'ombe kutoa maziwa.
Kama hujui au hujawahi kufuga ng'ombe uliza kwanza.
 
Kaakimnya ufiche ujinga wako bana, Maziwa na upatikanaji wake hautegemei majira kabisa. Wala majani mabichi sio factor ya ng'ombe kutoa maziwa.
Kama hujui au hujawahi kufuga ng'ombe uliza kwanza.
Kumbe kunguni wa mchana mpo wengi kweli kweli pole sana.
Umeambiwa viwanda vingi vya hapa nchini wana mifugo yao? Ni wachache sana. Njoo Arusha nikuoneshe Brookside ya Kenya wanatoa wapi maziwa acha ukenge mwanangu!!.
 
Yanatengenezwa na maziwa ya unga
Kiwanda kipo ZNZ. Wanaimport maziwa unga wanaprocess. Jiulize kwanini kiwanda hakikuwekwa bara ambako kuna maziwa mengi ya ngombe na walaji pia ni wengi?
By the way kwa Tanzania hiiiii maziwa ya ngombe ninayo trust siyo ya kutoka kiiwandani.
niongeze kwa kuwahabarisha kuwa: kwa wale mnaonunua maziwa fresh toka kwa wafugaji kuna umuhimu ujiridhishe kuwa hayajachakachuliwa. wauzaji wa maziwa wanaongeza maji kufanya yawe mengi kupata faida zaidi. ili kuficha huu ujanja huwa wanaweka vitu vya ajabu kama unga wa ngano, blue band etc kuyafanya yaendelee kuwa mazito. But ni hatari kwa afya hasa ya mtoto mchanga. Mtoto aweza kuharisha, kudumaa kwa kukosa virutubisho muhimu vya hayo maziwa na pia long term impact kwenye ini na figo. Hivyo basi namna rahisi ya kubaini kama maziwa fresh yamechakachuliwa ni: i. chovya njiti ya kiberiti halafu iwashe, isipowaka yametiwa maji
ii. mwaga kijiko kimoja cha maziwa kwenye sakafu, kama yameongezwa maji yatajitenga
iii. chukua glass weka maziwa fresh kiasi halafu kamulia ndimu au tone la alcohol (bia, konyagi) yasipokatika ni dalili pia yameongezwa maji.
Maziwa ni muhimu sana kwa afya ya inadamu hasa watoto na wazee. Tuingatie haya kwa afya bora za watanzania.
 
Kweli aisee bidhaa za huyo jamaa sio tangu nilipogindua ni magumashi sizitumii tena mfano mdogo juice izi za pera sidhani Kama tz tuna mapera kiasi icho kumbe wanachofanya wanamill mahindi to the size wanamix na ingredients nyingine then juice tayari
 
Kumbe kunguni wa mchana mpo wengi kweli kweli pole sana.
Umeambiwa viwanda vingi vya hapa nchini wana mifugo yao? Ni wachache sana. Njoo Arusha nikuoneshe Brookside ya Kenya wanatoa wapi maziwa acha ukenge mwanangu!!.
Wewe ndio Kenge kwa kusema Maziwa yana patikana wapi kipindi cha kiangazi!! Kwani yliambiwa kipindi cha kiangazi ngombe hawazai!? Ng'ombe hata ale nyasi kavu ukimpa maji ya kunywa anatoa maziwa mengi kama kawa. Na ngombe pia hawazai kwa msimu bali wana zaa muda wowote na msimu wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom