Maziwa ya Azam siyaelewi!

Maziwa ya Azam siyaelewi!

Kuhusu suala la kuhara nimelisikia kwa watu wengi tu juu ya matumizi ya hayo maziwa binafsi tumbo langu ni kama tbs flani kitu kikiwa kibaya au feki kama hayo maziwa ya azam automatically kitatolewa unprocessed maana hamna cha ku absorbed,hayo ya gongo nahisi wewe ndio mtumiaji ndio maana unahisi ni rahisi kwa kila mtu kunywa gongo mkuu
 
Hata mm niliwahi kunywa siku moja dah nilihis cjui nakunywa tui la nazi vile, maziwa mkuu ni tanga fresh au dar fresh
 
Maziwa yote ya box si mazur ndo maana hata life span yake ni ndefu.. Maziwa mazur ni tanga ambayo yanakaa si zaid ya week
 
Hata Mimi siyaelewi.yana uzito usio wa kawaida pia ukiweka katika glass ukiyamimina kwa muda utasikia harufu flani hivi. Pls tfda fuatilieni hili suala.
 
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
"Maziwa ya AZAM Milk" eeeeeh!!!!!!
 
Mfanya biashara km Azam hawezi kufanya upuuzi wa namna hio hata siku moja.
We unafahamu kosa la Kuwauzia wananchi Chakula au kinywaji kilicho nje ya kiwango?
Kwa upuuzi huo anahatarisha Kufungiwa VIWANDA VYAKE VYOTE na Kupigwa Faini ya mamilioni ya pesa.

Maziwa ya Azam yananywewa na Mamilioni ya watanzania.
Sasa itokee hata watu 100 tu wapelekwe hospital kwa matatizo ya hayo maziwa Ujue Azam tumo ktk SHIDA kubwa sana.

Hawa wanaohara ovyo ni Walevi wa Pombe za buku jero!
Ukute maisha yake yote bia anakunywa Christmas mpk Christmas au apewe divai ya bure kanisani.
Matokeo yake tumbo limezoa Gongo. Sasa likikutana na maziwa hali ya kuwa liko Tupu anahara ovyo .

Watakufa Kwa Gongo hawa watu.
Azam hawafanyi makusudi, ndio viwango vya bidhaa zao hizo na tbs ndio viwango vyao. Ukilinganisha na bidhaa nyingine utagundua viwango vyao viko chini. Hata juice,fizzy drinks zao viwango ni vya chini sana.
 
Soma unachoandika Prondo.
Hakuna bidhaa yenye kiwango cha chini ikapasishwa na TBS.
Au huelewi maana Ya Tbs?
Tanzania bureau of standard kazi yake ni kuhakiki UBORA WA BIDHAA na kila bidhaa yenye Nembo ya TBS basi kiwango chake Ni LZM kiwe juu.

Ulimi wako au tumbo lako haliwezi kupima UBORA wa Bidhaa.

Watu wengine ukiwalisha Biriani ya mbuzi wanahara ovyo na wengine km mimi tukila mapera ni balaa.

Jifunze hili kwanza
 
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
KUNA SIKU NILIYANYWA NI MACHUNGU ULE WA KLOROKWIN SIKUJARIBU WALA SITAJARIBI TENA
 
KUNA SIKU NILIYANYWA NI MACHUNGU ULE WA KLOROKWIN SIKUJARIBU WALA SITAJARIBI TENA
Sema hamyamungu...

Umejaribu kwenda kucheki ujauzito?

Kama bado, kam zis wei nikupime bure bileshi wallah
 
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
Kwa nini usinywe ya ng'ombe tuuu yanapatikana kwa wingi? Hata kama ushakunywa sumu utamlaumu nani?
 
Hivi huwa ananunua maziwa kutoka kwa wakulima au anafuga ng'ombe au ni chemicals?
 
Guys please avoid speculative information kwenye biashara za watu. Hakuna mtu aliyeenda kukagua viwanda vya AZAM na kugundua kuwa ni maziwa ya unga au la!

Kama una mashaka na quality ya AZAM MILK, kuna mamlaka unaweza kwenda kuripoti malalamiko yako. Mfano ni TBS na TFDA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom