Maziwa ya Azam siyaelewi!

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
 
ndugu yangu achana na hayo maziwa mm niliyanunia nikayaweka mdomon fundo moja nikatema nikayamwaga.. maziwa yana test kama tui la naz lilikokaangwa yaan wameweka vikolombwezo ambavyo vimeondoa maana halis ya maziwa kwa kifup situmii kinywaj chochote cha azam .. maana hata hzo soft drinks zao composition yake haina viwango
 
Mkuu naunga mkono nami nime experience hiyo kitu. Ladha siyo poa kwa yale makubwa. Madogo naona yapo sawa.
 
Nishakunywa kama mara tatu, lakini kila nikinywa najiskia hovyo kama naumwa, vipi jamani haya Maziwa yana ubora kweli au ndio tunalishwa sumu kiaina?
true dat????? wadau ni ASAS NA DAILY FRESH??????????????????????????????????????? Composition zao zikoje
 
Back
Top Bottom