Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mtanzania, hata kama maofisa habari wa Chadema wangekuwepo na wapiga picha wa Chadema wangekuwepo, bado wasingepaswa kutupatia updates zozote humu jf kwa sasa jf sio mainsteam media ni just a social network kwa members kujitolea kupost news au update!.

Maofisa habari wangewajibika kwa mainstream media of which Nnyika ametimiza wajibu wake vizuri tuu.

Jf sio mouth piece ya Chadema mpaka kufikia jf members kudai update as if its your right Chadema iwape!.

Whoever aliyejiunga jf amejiunga kwa mapenzi yake na ataposti anything kwa nafasi yake hivyo chochote mnachosona humu , each and everything ni favours tuu!. Sasa watu mnataka kuzugeuza favours kuwa rights?!.

Tena Jf mna bahati sana na Chadema, top brass yake karibu yote ni members humu akiwemo Mkurugenzi wake wa habari, lakini kwa Chadema, jf haiko priority kihivyo!. Thanks to Dada Phine, the newest Chadema jf member ambaye amefanya makubwa the old guards hawajawahi kufanya!.
Thanks.

Pasco,

..una hoja nzuri sana.

..lakini how "mainstream" is JF?

..zaidi nini nafasi ya social media kama JF ktk mustakabali wa siasa zetu.

..hivi hujasikia Presidential candidates ktk nchi za wenzetu wanatangaza nia kupitia social media?

..dunia inabadilika na CDM lazima iende na wakati.

NB:

..particularly, Regia[r.i.p] alikuwa ni mwanafamilia mwenzetu hapa JF. Kila jambo lililomhusu kisiasa, pamoja na masuala mengine ya chama, alikuwa hakosi kutuhabarisha. Nadhani itapendeza kama utaratibu huo utaenziwa.
 
kwa kweli tunapaswa kujifunza mambo makubwa kutokana na Rejia.kwanza ametufanya kuwa ni kitu kimoja kama watanzania bila kujali tofauti zetu.pili uvumilivu hata wakati wa shida.mvua kubwa sana ilinyesha wakati wa mazishi lakini hakuna mtu aliyekimbia na shughuli ziliendelea kama kawaida.huu ni uvumilivu wa upendo.watanzania tupendane
 
Mtanzania, hata kama maofisa habari wa Chadema wangekuwepo na wapiga picha wa Chadema wangekuwepo, bado wasingepaswa kutupatia updates zozote humu jf kwa sasa jf sio mainsteam media ni just a social network kwa members kujitolea kupost news au update!.

Maofisa habari wangewajibika kwa mainstream media of which Nnyika ametimiza wajibu wake vizuri tuu.

Jf sio mouth piece ya Chadema mpaka kufikia jf members kudai update as if its your right Chadema iwape!.

Whoever aliyejiunga jf amejiunga kwa mapenzi yake na ataposti anything kwa nafasi yake hivyo chochote mnachosona humu , each and everything ni favours tuu!. Sasa watu mnataka kuzugeuza favours kuwa rights?!.

Tena Jf mna bahati sana na Chadema, top brass yake karibu yote ni members humu akiwemo Mkurugenzi wake wa habari, lakini kwa Chadema, jf haiko priority kihivyo!. Thanks to Dada Phine, the newest Chadema jf member ambaye amefanya makubwa the old guards hawajawahi kufanya!.
Thanks.

You are very true Mr. Pasco, umesomeka vizuri kaka, thanx anyway kwa kazi nzuri mloifanya leo.
 
Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niliko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!
Angalia mbunge wako Lazaro Nyalandu wa ccm anavyomwelezea Regia kwenye fb yake.

'So many people have come to bid farewell to one of our own, Regia. What a beautiful soul gone too soon! She showed love, kindness, and courage to transforming humanity. She was full of life, a candle whose light we shall continue to see. May God keep her spirit close to his arms'
 
kwa kweli lazima tukubali kwa pamoja kuwa jf ni social netwek but ni information chanel ya cdm,hivyo cdm wasiache kuitumia kutupatia habari mbalimbali muhimu.
 
Nawashukuru wote mliotuwezesha kufuatilia huu msiba wa shujaa na mpendwa wetu Regia Mtema toka siku ya ajali hadi mazishi, asanteni sana!

Mimi sina zaidi ila namwombea marehamu apumzike kwa amani kwani ni Bwana aliyetoa na ni Bwana ametwaa na kazi yake daima haina makosa.

Pia nawapa pole ndugu na marafiki wa marehemu popote pale walipo Mungu awajalie na awape nguvu na uvumilivu katika wakati huu mgumu tunapomlilia mpendwa wetu Regia Estelatus Mtema.
 
kweli ni huzuni maana misa ilivyokuwa inaendelea mvua kubwa ilinyesha lakini wananchi hawakuona mvua walishiriki mpaka mwisho vilio vilisikika kila pande .mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
Jf sio mouth piece ya Chadema mpaka kufikia jf members kudai update as if its your right Chadema iwape!.

Whoever aliyejiunga jf amejiunga kwa mapenzi yake na ataposti anything kwa nafasi yake hivyo chochote mnachosona humu , each and everything ni favours tuu!. Sasa watu mnataka kuzugeuza favours kuwa rights?!.

Tena Jf mna bahati sana na Chadema, top brass yake karibu yote ni members humu akiwemo Mkurugenzi wake wa habari, lakini kwa Chadema, jf haiko priority kihivyo!. Thanks to Dada Phine, the newest Chadema jf member ambaye amefanya makubwa the old guards hawajawahi kufanya!.
Thanks.

Kuna member humu zaidi ya 50000!, kwa Chama chochote makini ni lazima kwa idadi hii ya watu kijipendekeze kutafuta kuungwa mkono!, kwa hiyo yes Chadema inaihitaji JF, ila JF inaweza isiihitaji Chedema!, tuna forums humu nyingi tu, ila ya Siasa kikamilifu ni moja! .
 
Asante sana Ms Josephine kwa updates! Sijui unawezaji kwani mimi tu ninaesoma nazidiwa na machozi nalazimika kukatiza mara kwa mara,,, asante sana, pole sana, pole sana wapiganaji wote, ni huzuni ya ajabu.
 
thanx kwa woote waliotupa updates kuanzia ruvu_tabata_karimjee_ifakara... naomba kujua maombolezo tunamaliza lini? i mean matanga yanaanuliwa lini?
 
Wafuatiliaji tunajua kazi alizofanya. Mbali ya yeye kuziandika hapa majamvini, wananchi wa jimbo lake ni mashahidi wa aliyowafanyia, na ndiyo maana wametoka kwa uwingi na simanzi kuu kuushuhudia mwili wa shujaa wao. Ni kwa kiasi gani watu wa kondoa wanafuatilia matukio ya siasa?...ukiwauliza kuhusu ufisadi wanaujua kwa level gani? Wasaidie kuwa na awareness!
 
Kuna member humu zaidi ya 50000!, kwa Chama chochote makini ni lazima kwa idadi hii ya watu kijipendekeze kutafuta kuungwa mkono!, kwa hiyo yes Chadema inaihitaji JF, ila JF inaweza isiihitaji Chedema!, tuna forums humu nyingi tu, ila ya Siasa kikamilifu ni moja! .
[h=6]Mark Zuckerberg
[/h][h=6]The internet is the most powerful tool we have for creating a more open and connected world. We can't let poorly thought out laws get in the way of the internet's development. Facebook opposes SOPA and PIPA, and we will continue to oppose any laws that will hurt the internet.

The world today needs political leaders who are pro-internet. We have been working with many of these folks for months on better alternatives to these current proposals. I encourage you to learn more about these issues and tell your congressmen that you want them to be pro-internet.

You can read more about our views here: https://www.facebook.com/FacebookDC?sk=app_329139750453932.[/h]
 
Ni kweli mdau Regia ni unique siyo kama wengi wa viongozi wetu wengine wameshajiwekea madaraja kati yao na wananchi, ukitaka kuwajua wasikilize wanapotetea hoja zao za kipuuzi mfano suala la katiba wanawatenga wananchi kwa kuwaita wananchi wa kawaida, kwa kusema hivyo tu wameshajitenga na kuona wao si wa kawaida. sasa unajiuliza wao si wakawaida kivipi. wakisha weka madaraja hivyo hata wakifa watu wanaona hawajapoteza chochote kwani aliyekufa si wa daraja lao si mwenzao. lakini kwa Rejia hali sio hivyo alikuwa ni wa kawaida kwa tafsiri ya kibinadamu ingawa alikuwa ni Mh. kama hao wanaojiita si wakawaida lakini hakuona kuwa hiyo inaweza kumtenga na wengine.

Lala salama kipenze cha watu
Lala salama dada wa watanzania
lala salama Kiungo kati ya JF na wananchi
 
Tutayarithi mema yake aliyotuachia ili tumuenzikwani naamini kimwili tu ndo hatutakuwa nae bali kiroho tutadumu nae milele
 
Back
Top Bottom