Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niliko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!
 
hakika mkuu hali ya hewa ni ya utulivu hapa ifakara manyunyu kwa mbali mji wote zimebaki story za dada yetu regia.tuzidi kuiombea familia yake ibaki na amani na MUNGU awape faraja yake.TUNAOMBA TANESCO warudishe power maeneo ya ifakara.

Mkuu nimeshatoka Ifakara,ila kila nipitapo hali ya hewa ni hiyo hiyo!kweli Tanzania ilimpenda Regia,hata mwenyezi Mungu anajua ilo,na ndio maana ameifanya Morogoro iwe hv leo,kuonyesha furaha ya Regia kurudi kwake,na furaha yake pia kwa jinsi watanzania tulivyompenda Regg
 
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunirudishia afya yangu ambayo iliteteleka tangu jumamosi jioni ila leo hususan jioni hii nimekuwa na nguvu hata ninaweza kuandika hapa jf na nimefuatilia shughuli nzima ya kumuaga dada yetu kipenzi Regia ambaye ninaamini kuwa sisi tulimpenda sana lakini Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alimpenda zaidi na bila shaka majukumu aliyokabidhiwa katika purpose yake ya kuumbwa ameyatimiza vema hivyo basi Mungu wetu wa upendo amemwita akapumzike kwa AMANI.

Sisi sote tu wasafiri hapa duniani hivyo ni fursa ya kujitafakari na kujiaandaa vema ili wakati wetu ukifiki basi tuwe tayari kurudi nyumbani kwetu (Mbinguni).

Kilichobaki kwetu sote ni kumuenzi Regia Mtema(marehemu) kwa vitendo na sio kwa wingi wa maneno na machozi. Marehemu Regia anabaki kuwa mfano wa kuigwa na nuru kwa watu wa rika zote katika kukabiriana na changamoto hasa za kiuongozi na katika kutetea masilahi hasa ya wanyonge na wasiokuwa na sauti. Tunafarijiwa na maneno ya vitabu vitakatifu kuwa kuna maisha baada ya haya katika makao ya milele(mbinguni) hivyo tunatumai kukutana na mpendwa wetu Regia pamoja na viongozi wengine waliotutangulia mbele ya haki.

Maisha ya Marehemu Regia Mtema yametimiza theory hii
"When you were born, you were crying and everyone around you was smiling.Live your life so that When you die,you'll be the one smiling when everyone around you is crying."

Rest in Eternal Peace our Beloved Regia Mtema. We will always miss u...
 
Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niloko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!

Mwehu utamjua tu.
 
Josephine tumekuelewa na tunashukuru kwa kazi nzuri unayofanya.

Nadhani watu hapa si kwamba wanakulaumu wewe bali wanachosema ni kuwa kuna watu ambao wanalipwa kwa kazi hiyo unayoifanya lakini hawafanyi na wako huko.

Walipaswa kujipanga....wengine walete habari, wengine picha...kitu kama hicho. Pengine hata wewe hukupaswa kuifanya kazi hiyo.

Kwa hili Mh. Mnyika anatakiwa kuwajibika, yeye ndie msemaji wa chama anatakiwa kua anatupatia habari kwa njia yoyote ile
 
Ee mola wangu, wakati tunamlilia regia apa duniani,yeye yuko kulia kwako anatulilia sisi. Ee mungu, tunaomba regia afikishe shida za watz aliotuacha apa duniani. Regia, mueleze Mungu harakati zote za kujikomboa kutoka mikono ya mashetani. Mungu awasamehe hata wale waliokupinga, kukubeza na kukudharau lakini leo wanayo majonzi juu yako.

Eeh Mola, nguvu zako zilimuongoza Regia kuwa reporter na shabiki wa JF. Nguvu hizi umewapa Josephine, Pasco, Ustaadh na wengine wote walioripoti live toka eneo la tukio toka regia umuite mbinguni. Ee mola sala zetu atazifikisha Regia nasi tunategemea kupata majibu.

Mungu mwenye huruma tujalie nguvu na mpe pumziko la milele regia. Amina
 
Hlafu ikizingatiwa wale walioga Dar es salaam sio wana ifakara.Nadhani ungewanyima haki yao watu wake wa nyumbani.wewe pasco ndo hukupaswa kuaga tena ungewaachia wengine kwani huwa kuaga hakulazimishwi.
Wewe Binti Sayuni (Zion Daughter), mbona jina lako ni zuri halifanani na uekewa wako?!. Mimi nimepinga kuaga au nimepinga kuaga kwa mwili kufunuliwa 4 times watu watazame?. Nashauri kwa vile hukujua nazungunzia nini bora unyamaze mwacheni Regia tumeshampumzisha!.
 
Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niliko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!
Penye ukweli uwongo hujitenga, hakuna ubishi kuwa mazishi yake yamewavuta wengi, unataka kuniambia hawa watanzania wote kuanzia mawaziri, wabunge, viongozi wakuu serikalini na watanzania wa kawaida hawana uwezo wa kumjua mtu shujaa ni yupi? Hayo maneno yako si ya kweli
 
Mkuu nimeshatoka Ifakara,ila kila nipitapo hali ya hewa ni hiyo hiyo!kweli Tanzania ilimpenda Regia,hata mwenyezi Mungu anajua ilo,na ndio maana ameifanya Morogoro iwe hv leo,kuonyesha furaha ya Regia kurudi kwake,na furaha yake pia kwa jinsi watanzania tulivyompenda Regg

poa mkuu safari njema mimi bado nipo tunamalizia msiba
 
Ama kwa hakika kazi ya mola haina Makosa.
Tunakuombea dada yetu Regia upunzike punziko la amani na ufike salama .Safari hii nasi pia inatusubiri siku mola aipangayo.
 
ssamini kama ndio mwisho wa kuongea na mpendwa wetu Regia ndani ya JF,ktk simu ,FB na pengine pote duniani
Mungu iweke roho ya mpendwa wetu REGIA mahali pema peponi AMINA
 
Ningekushauri unapotaka kufanya Argument na mimi hakikisha unajiandaa kwa hoja zenye mashiko, kila msiba kuna wanaolia na kuna wanaoliwaza na kuna watani kupunguza stress na tension ya msiba, kama umeguswa sana nilitegemea uwe Morogoro kwenye mazishi.

Achana naye mkuu. Vizazi vya dot com shida sana. msiba ni sherehe kama zilivyo sherehe, watu huimba na kucheza. Lengo ni kujaribu kuwasahaulisha machungu wafiwa. Juzi nilikuwa ktk msiba fulani wa baba. Watani wake wa kike wakawa wanalia wakilalamika kuwa hajawaachia password ya atm!
 
Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niliko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!

Utajuaje wakati unaishi kwenye kwapa la CCM?
 
Walipaswa kujipanga....wengine walete habari, wengine picha...kitu kama hicho. Pengine hata wewe hukupaswa kuifanya kazi hiyo.

Kwa hili Mh. Mnyika anatakiwa kuwajibika, yeye ndie msemaji wa chama anatakiwa kua anatupatia habari kwa njia yoyote ile
Mtanzania, hata kama maofisa habari wa Chadema wangekuwepo na wapiga picha wa Chadema wangekuwepo, bado wasingepaswa kutupatia updates zozote humu jf kwa sasa jf sio mainsteam media ni just a social network kwa members kujitolea kupost news au update!.

Maofisa habari wangewajibika kwa mainstream media of which Nnyika ametimiza wajibu wake vizuri tuu.

Jf sio mouth piece ya Chadema mpaka kufikia jf members kudai update as if its your right Chadema iwape!.

Whoever aliyejiunga jf amejiunga kwa mapenzi yake na ataposti anything kwa nafasi yake hivyo chochote mnachosona humu , each and everything ni favours tuu!. Sasa watu mnataka kuzugeuza favours kuwa rights?!.

Tena Jf mna bahati sana na Chadema, top brass yake karibu yote ni members humu akiwemo Mkurugenzi wake wa habari, lakini kwa Chadema, jf haiko priority kihivyo!. Thanks to Dada Phine, the newest Chadema jf member ambaye amefanya makubwa the old guards hawajawahi kufanya!.
Thanks.
 
hongera kikwete kwa kuwa mstari wa mbele kuongoza mazishi ya dada yetu.rest in peace dada Rejia
 
Back
Top Bottom