1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 612
poa mkuu safari njema mimi bado nipo tunamalizia msiba
Asante mkuu!
poa mkuu safari njema mimi bado nipo tunamalizia msiba
Wafuatiliaji tunajua kazi alizofanya. Mbali ya yeye kuziandika hapa majamvini, wananchi wa jimbo lake ni mashahidi wa aliyowafanyia, na ndiyo maana wametoka kwa uwingi na simanzi kuu kuushuhudia mwili wa shujaa wao. Ni kwa kiasi gani watu wa kondoa wanafuatilia matukio ya siasa?...ukiwauliza kuhusu ufisadi wanaujua kwa level gani? Wasaidie kuwa na awareness!
Regia siwezi siwezi mama kuendelea kuona watu wako wakibubujikwa machozi.
Nasikia mengi wanayokusema.
Sasa tunakuona uso wako kwa mara ya mwisho,imebaki historia.
Watu wanajipanga kutoa salamu za mwisho,mvua inanyesha kidogo.
Please open you eyes just foa minute Regia.
Nakulilia mama,niliumia hivi siku baba yangu mzazi aliponitoka.
Noooooo!
Go to hell!Bado mnaendeleza porojo zisizo na mashiko!Tuambieni mchango wa Regia kitaifa ni upi? Wewe unasema jimbo lake wanajua, kwanza nataka ujue Regia alikuwa hawakilushi jimbo lolote, aligombea akashindwa jimbo la Kilombero, akapata ubunge wa viti maalum, no wonder alijokomba sana kwa Mbowe! Yale aliyoyaorodhesha hapa Mteketa mbunge wa sasa anasema ni kazi yake yeye kama mbunge wa Kirombero!
Bado mnaendeleza porojo zisizo na mashiko!Tuambieni mchango wa Regia kitaifa ni upi? Wewe unasema jimbo lake wanajua, kwanza nataka ujue Regia alikuwa hawakilushi jimbo lolote, aligombea akashindwa jimbo la Kilombero, akapata ubunge wa viti maalum, no wonder alijokomba sana kwa Mbowe! Yale aliyoyaorodhesha hapa Mteketa mbunge wa sasa anasema ni kazi yake yeye kama mbunge wa Kirombero!
Unachokisema kina ukweli sana japo wengine wamekuita mwehu, baada ya kusoma post yako ila mimi sikuiti mwehu nasema umekosea, Regia hatukuonyesha upendo wake eti wakati wa kifo chake tu!! Regia tulimpenda hata wakati wa uhai wake!! sisi wengine kwetu alikuwa ni daraja kati ya wanyonge sisi na wenye nguvu, kama utakumbuka vizuri wengi wetu tulirely sana kwenye mawazo yake juu ya mambo mbalimbali. na tuliona angetusaidia na alifanya hivyo, mara nyingi tulipotatizwa na kitu tulimwuliza hapa Jf naye hakuwa na hiana kutujibu, watu wengi watakubaliana na mimi kuwa, ingawa unachokisema hapo ni cha kweli lakini si kwa Regia yeye tulikuwa naye wakati wote. ila siku wasira akifa na ukaona watu wanasema alikuwa mwema ujue hao ni wanafiki maana tayari watu wengi wameshaonyesha kinyongo nae wakati wa uhai wake! au Mwema ingawa jina lake ninaonyeshwa taaswira ya wema lakini watu wengi wameshaona anawakera, siku akiondoka ukasikia alikuwa mwena jua ni changa la macho ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa nadhani umenielewa.Naona sasa itabidi tuanze kuambiana ukweli! Watanzania tuna kawaida ya kusema mema tu ya marehemu na muda mwingine tunatia chumvi nyingi! Pengine ni njia ya 'kumlaghai' Mungu ili amhurumie! Lakini la Regia kwa hili nadhani linatumiwa na CDM kama mtaji wa kisiasa kujipatia umaarufu! Huku Kondoa niliko hilo jina ndio kwanza wanalisikia! Ukiondoa mchango wake kwenye chama chake kama upo, au kujipendekeza kwake kwa kundi la Mbowe,na kuleta PICHA za mikutano ya CDM hapa JF ; Mimi sioni MCHANGO WAKE kitaifa! Hata bungeni sikuwahi kumsikia akuzungumza lolote la maana!
Give me a break! Kuongoza mazishi! Hebu huko! Kwanza nahisi hata safari ya kufungua madaraja ilipangwa ili apitie kaburini! Hebu acha watu wamalize msiba kwa amanihongera kikwete kwa kuwa mstari wa mbele kuongoza mazishi ya dada yetu.rest in peace dada Rejia
Penye ukweli uwongo hujitenga, hakuna ubishi kuwa mazishi yake yamewavuta wengi, unataka kuniambia hawa watanzania wote kuanzia mawaziri, wabunge, viongozi wakuu serikalini na watanzania wa kawaida hawana uwezo wa kumjua mtu shujaa ni yupi? Hayo maneno yako si ya kweli
Ngongo.
Wakti nipo Tanganyika hususan Dar na mwanza, bukoba . Kulikuwa na kitu kinachoitwa utani wa makabila. Na utani huu unashamiri sana pale watu wanapokuwa msibani au kwenye matanga. Utashangaa mnaweza mkawa mnalia na wengine wanakuja na ngoma na kuanza kucheza. (Sina hakika kama siku hizi kuna watani)
mara ya mwisho niliona pale Upanga mtaa wa mazengo kwa jirani yangu Ditopile. watani walikuja juu sana wakti wa mazishi yake mpaka wakapewa pesa. Nakumbuka pesa za utani wa wasukuma alichukua Endrew Chenge na ilikuwa ni shilingi 200 za tanzania.
Hayo yote ni matani. Lakin yakiwa na nia ya kuboresha. haiwezekani watu wate muwe serious lazima pawe na mas'khara kidogo kupunguza tension.
Samahani kama nilikuwa nimekukwaza. Lakin kwangu ilikuwa ni joke tu.
Tusimame pamoja kumuombea Regia apokewe kwa amani huko Kwa Muumba.
Pole sana.
Kwani ulidhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo tu usiku? la hasha hata hapa JF tunao wachawi ambao tunaishi nao. kumbuka ni lazima wawepo wapumbavu ili Great Thinker aweze kujulikana.Shame on you! Una wivu na chuki mpaka kwa marehemu!!! What a shame?
Nilipokuwa nasikiliza propaganda za ccm kidogo nikubali kuwa chadema ni cha wachagga.
Nikamwuliza rafiki yangu je regia watampeleka marangu au machame?
Akaniambia achana na hao mafisadi wanawadanganya watanzania ili wawaibie.
Poleni naa masiba malizeni mrudi watanzania wanawasubiri wakombozi wao.
R.i.p dada regia.
Bado mnaendeleza porojo zisizo na mashiko!Tuambieni mchango wa Regia kitaifa ni upi? Wewe unasema jimbo lake wanajua, kwanza nataka ujue Regia alikuwa hawakilushi jimbo lolote, aligombea akashindwa jimbo la Kilombero, akapata ubunge wa viti maalum, no wonder alijokomba sana kwa Mbowe! Yale aliyoyaorodhesha hapa Mteketa mbunge wa sasa anasema ni kazi yake yeye kama mbunge wa Kirombero!
Bado mnaendeleza porojo zisizo na mashiko!Tuambieni mchango wa Regia kitaifa ni upi? Wewe unasema jimbo lake wanajua, kwanza nataka ujue Regia alikuwa hawakilushi jimbo lolote, aligombea akashindwa jimbo la Kilombero, akapata ubunge wa viti maalum, no wonder alijokomba sana kwa Mbowe! Yale aliyoyaorodhesha hapa Mteketa mbunge wa sasa anasema ni kazi yake yeye kama mbunge wa Kirombero!