Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,078
2,000
Wewe sema maisha yamekuchapa, kwani lazima kufunga harusi kubwa mbona wengi tu wanaenda kanisani mtu na mtuwe wanamaliza kingine, nikusaidie tu hii amsha amsha ya harusi inafanya watu tufanye kazi na kusaka pesa sana na ndivyo inavyotakiwa ili pale unapoona aibu mbona mwenzangu kafanya kubwa na wewe inakupa mori ya kusaka zaidi, jaribu kuchunguza waislam wengi ni masikini coz wamejizoesha wenyewe kutokutaka vikubwa na imepelekea hata kimaendeleo wapo nyuma sana kama hujui nakupa hilo
Waislamu wengi ni masikinipitia makabrasha yako vizuri
 
noiselessly hunter

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,078
2,000
Nataka nikwambie ukweli, leo uamini ndugu yangu, wanayofanya waisilamu yameamrishwa na Mwenyezi Mungu na wanayofanya hao wengine wamejiamulia wenyewe.
Kuna vitu vingi sana mfano ndoa, mnaambiwa kama ikifikia kuachana muachane Kwa wema, nakushauri mtafute Muisilamu aliye karibu yako atakufundisha mambo mengi sana
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,931
2,000
Wewe sema maisha yamekuchapa, kwani lazima kufunga harusi kubwa mbona wengi tu wanaenda kanisani mtu na mtuwe wanamaliza kingine, nikusaidie tu hii amsha amsha ya harusi inafanya watu tufanye kazi na kusaka pesa sana na ndivyo inavyotakiwa ili pale unapoona aibu mbona mwenzangu kafanya kubwa na wewe inakupa mori ya kusaka zaidi, jaribu kuchunguza waislam wengi ni masikini coz wamejizoesha wenyewe kutokutaka vikubwa na imepelekea hata kimaendeleo wapo nyuma sana kama hujui nakupa hilo
Waislamu wengi ni maskini?Ohhhh...aise kama ulikuwa hujui waislamu ndo waloshika uchumi wa nchi mkuu.Angalia kuanzia matajiri wakubwa wa nchi hii hadi hawa wa chini kuanzia vyombo vya usafiri kama mabasi ya mkoa,daladala na malori wao ndo wanamiliki kwa kiasi kikubwa.
 
lucley

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
664
1,000
Aisee kuna watu wanajua kujitoa "akili" humu jamvini, kweli maisha bila unafiki hayaendi.
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,505
2,000
Mkuu sisi wengine kwenye misiba kama hakuna pombe basi tunaona waandaaji wa shuguli nzima ya mazishi hawajamtendea haki mwendazake yaani kwa kifupi wamemdharau.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,888
2,000
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nimekuuliza, uthibitisho ni nini na unapatikanaje?

Unajibu:

"Kwa sababu uelewi hata unachouliza Wala kujibu".

Umeelewa au umelewa?
Mzee, unacheza na maneno tu. Huelewi na hueleweki
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,352
2,000
Mzee, unacheza na maneno tu. Huelewi na hueleweki
Nawezaje kuelewa na kueleweka ikiwa wewe hutaki hata tukubaliane kuhusu definitions za maneno muhimu katika mjadala wetu?

Uthibitisho ni nini? Uthibitisho unapatikanaje?

Hujajibu mpaka sasa.

Sasa kama hatuelewani hapo wa kulaumiwa ni mimi au wewe?
 
el_magnefico

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
473
1,000
Mi nilijua umeongea kitu cha maana kumbe hilo tu??! Bila shaka wewe ni kilaza deni lijadiliwe ili iweje?? Mnashindwa kudaiana wakati wazima???! Hueleweki wewe
Kifo hakina tarehe maalum utajadili vipi wakati hujui utakufa lini. Hilo halipiti kichwani kwako kweli?
 
chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
765
1,000
Waislamu wengi ni maskini?Ohhhh...aise kama ulikuwa hujui waislamu ndo waloshika uchumi wa nchi mkuu.Angalia kuanzia matajiri wakubwa wa nchi hii hadi hawa wa chini kuanzia vyombo vya usafiri kama mabasi ya mkoa,daladala na malori wao ndo wanamiliki kwa kiasi kikubwa.
Wewe unahesabia mmojammoja tembea uone kati ya muislam na mkristo nani ni matajiri wengi tembea mikoani uone hata dar tu sio eti unataja hao waarabu wahamiaji na wanaorithishana tembea uone wewe kuna watz waafrica hawajitangazi ni pesa kama zote sio hao waarabu wako
 
chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
765
1,000
Waislamu wengi ni maskini?Ohhhh...aise kama ulikuwa hujui waislamu ndo waloshika uchumi wa nchi mkuu.Angalia kuanzia matajiri wakubwa wa nchi hii hadi hawa wa chini kuanzia vyombo vya usafiri kama mabasi ya mkoa,daladala na malori wao ndo wanamiliki kwa kiasi kikubwa.
Watu wa pwani wengi ni waislam wao ni vingomaa midundiko urojoo tu nenda maofisin kaangalie majina ya maprofesa na wakurugenzi kibao ni din gani??!kazi kwako
 
chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
765
1,000
Waislamu wengi ni masikinipitia makabrasha yako vizuri
Tembea uone nakupa hiyo kama hujui mfano nenda mkoa huu iringa au hata dar uswahilin wengi ni muslims masikin wengi nenda mbez au masaki au tabata kuanzia kinyerezi au kimanga kwenda kule kinyerez ni wakristo wengi na mijumba kama yote ila magomen au temeke ni uswazi maisha mabovu wengi
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,088
2,000
Mtoa mada nahisi wewe ni mpagani au si muumini wa moja wapo kati ya Ukristo au uislam, kwani ungejua kuwa hawa wote wanafata taratibu za dini zao.
Sasa wewe ukubali hiki usikikubali haina shida wewe si kitu.
Watu wanamwabudu Mungu wao tu basi. Ukitaka sababu za kwa nini inakuwa hivyo just uliza.

Amen.
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,643
2,000
Mkuu kwa sababu umewazungumzia waislam na ukawasifu na kukosoa upande mwingine jinadae kwa kejeli ,dharau na matusi ya kila namna.
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,876
2,000
Mtu akishafariki habari yake imeisha.

Hata mkimtupa aliwe na ndege yeye hajui. Ingawa hilo litakuwa si utu.

Maziko ni kwa waliobaki.
Wewe unajuaje kuwa hajui?ushawahi kupitia hiyo hali au umewezaje kujua?
 
UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,876
2,000
Tembea uone nakupa hiyo kama hujui mfano nenda mkoa huu iringa au hata dar uswahilin wengi ni muslims masikin wengi nenda mbez au masaki au tabata kuanzia kinyerezi au kimanga kwenda kule kinyerez ni wakristo wengi na mijumba kama yote ila magomen au temeke ni uswazi maisha mabovu wengi
Inawezekana ikawa labda sababu waislamu ni wengi na ndio maana unaona waislamu wengi ni masikini hasa ukizingatia siku zote matajiri huwa ni wachache.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,352
2,000
Wewe unajuaje kuwa hajui?ushawahi kupitia hiyo hali au umewezaje kujua?
Kwani wewe unayojua yote ushawahi kuyapitia?

Unapomuamkia Baba yako ushawahi kupitia hali ya kuwa Baba yako na kujua kwamba yupo kweli na si hologram tu?

Unapojibizana na mimi hapa ushawahi kuwa mimi na kujua nipo na si mfumo wa Artificial Intelligence wa computer unakujibu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom