Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

Mtu akifa habari imeisha kuomba msamaha ilitakiwa aombe wakati amepewa uhai pia ndio wakati huo huo alitakiwa atende yaliyomema.

Si hadi ufe ndio watu wengine wakuombee msamaha au wakuombe toba.
 
Wewe una uthibitisho Marehemu hajui?
Nimekuuliza, uthibitisho ni nini na unapatikanaje?

Hujajibu.

Kabla hatujakubaliana uthibitisho ni nini na unapatikanaje, jibu langu kwako linaweza lisiwe na maana sana.

Kwa sababu unachokiita uthibitishowewe na ninachokiita uthibitisho mimi vinaweza kuwa si kitu kimoja.

Ndiyo maana nimekuuliza.

Uthibitisho ni nini?

Uthibitisho unapatikanaje?

Hujajibu.
 
Nataka nikwambie ukweli, leo uamini ndugu yangu, wanayofanya waisilamu yameamrishwa na Mwenyezi Mungu na wanayofanya hao wengine wamejiamulia wenyewe.

Kuna vitu vingi sana mfano ndoa, mnaambiwa kama ikifikia kuachana muachane Kwa wema, nakushauri mtafute Muisilamu aliye karibu yako atakufundisha mambo mengi sana
 
Umenena vyema Sana mkuu...umetembelea kauli ya bwana mtume s.a.w ya kuwa SEMA ukweli japokuwa unauma,ndio maana wasio waislamu wamekushambulia.

Katika uislamu ukifa sio kwamba ndio umemaliza Bali kaburini Pia kuna maisha ambayo ni ya muda mrefu zaidi kuliko haya ya duniani,hivyo huko nako kuna maisha ya starehe kwa aliyeishi vizuri duniani na maisha ya tabu kwa aliyeishi kinyume na maamrisho ya Allah s.w na mafundisho ya bwana mtume s.a.w.

Mtu yeyote anayeondoka duniani akiacha madeni yasiyolipwa hawezi kuiona pepo hivyo ndio maana waislamu hutangaza Kama kuna anayemdai marehemu kujitokeza ili alipwe.
 
Nataka nikwambie ukweli,Leo uamini ndugu yangu,wanayofanya waisilamu yameamrishwa na Mwenyezi Mungu,na wanayofanya hao wengine wamejiamulia wenyewe.
Kuna vitu vingi sana mfano ndoa,mnaambiwa kama ikifikia kuachana muachane Kwa wema,nakushauli mtafute Muisilamu aliye karibu yako atakufundisha mambo mengi sana
Misiba na ndoa wapi na wapi bwashee?
 
Umenena vyema Sana mkuu...umetembelea kauli ya bwana mtume s.a.w ya kuwa SEMA ukweli japokuwa unauma,ndio maana wasio waislamu wamekushambulia.

Katika uislamu ukifa sio kwamba ndio umemaliza Bali kaburini Pia kuna maisha ambayo ni ya muda mrefu zaidi kuliko haya ya duniani,hivyo huko nako kuna maisha ya starehe kwa aliyeishi vizuri duniani na maisha ya tabu kwa aliyeishi kinyume na maamrisho ya Allah s.w na mafundisho ya bwana mtume s.a.w.

Mtu yeyote anayeondoka duniani akiacha madeni yasiyolipwa hawezi kuiona pepo hivyo ndio maana waislamu hutangaza Kama kuna anayemdai marehemu kujitokeza ili alipwe.
Dini zinagawanya watu tu.

Wewe hapo pia umetunyanyapaa tusio Waislamu kwa kusema tumemshambulia.

Mimi si Muislamu na sijamshambulia mtu.

Tafadhali kuwa specific.

Ama kama unataka nianze kushambulia naweza.
 
Ukifa mambo yameisha hakuna kutakiana heri wala kumuombea msamaha marehemu bwashehe..

Mbona mambo madogo yanakupiga knockouts bwashee au ndio umebakia na akili za kumsifia mjomba tu
Ukifa ndiyo kwanza mambo yako yanaanza Kwa Imani ya kiisilam,iwe kuadhibiwa au Kwa kulipwa wema wako
 
Wewe unapewa elimu,aliyekushambulia nani
Dini zinagawanya watu tu.

Wewe hapo pia umetunyanyapaa tusio Waislamu kwa kusema tumemshambulia.

Mimi si Muislamu na sijamshambulia mtu.

Tafadhali kuwa specific.

Ama kama unataka nianze kushambulia naweza.
 
Wewe sema maisha yamekuchapa wewe kwani lazima kufunga harusi kubwa mbona wengi tu wanaenda kanisani mtu namtuwe wanamaliza kingine nikusaidie tu hii amsha amsha ya harusi inafanya watu tufanye kazi na kusaka pesa sana na ndivyo inavyotakiwa ili pale unapoona aibu mbona mwenzangu kafanya kubwa na wewe inakupa mori ya kusaka zaidi, jaribu kuchunguza waislam wengi ni masikini coz wamejizoesha wenyewe kutokutaka vikubwa na imepelekea hata kimaendeleo wapo nyuma sana kama hujui nakupa hilo
Unatwakimu au unaongea tu.? Bro. Utajiri haupimwi kwa ndoa ;pia utajiri haupatikani kwa kazi za kuajiriwa hasa za serikali?
 
Uthibitisho ni nini na unapatikanaje?

Wewe una uthibitisho marehemu anajua?
Subiri huo uthibitusho mkuu mbona unakuja....utaelewa tu,lakini utaelewa wakati ambao huwezi kusawazisha.Kuna wenzio walikuwa na kiburi Kama chako na sshv wapo udongoni,utarudi tu subiri.
 
Subiri huo uthibitusho mkuu mbona unakuja....utaelewa tu,lakini utaelewa wakati ambao huwezi kusawazisha.Kuna wenzio walikuwa na kiburi Kama chako na sshv wapo udongoni,utarudi tu subiri.
Uthibitisho unakuja lini? Na unajuaje hiyo habari si habari ya danganya toto tu?
 
Nimekuuliza, uthibitisho ni nini na unapatikanaje?

Hujajibu.

Kabla hatujakubaliana uthibitisho ni nini na unapatikanaje, jibu langu kwako linaweza lisiwe na maana sana.

Kwa sababu unachokiita uthibitishowewe na ninachokiita uthibitisho mimi vinaweza kuwa si kitu kimoja.

Ndiyo maana nimekuuliza.

Uthibitisho ni nini?

Uthibitisho unapatikanaje?

Hujajibu.
Kwa sababu uelewi hata unachouliza Wala kujibu
 
Kwa sababu uelewi hata unachouliza Wala kujibu
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nimekuuliza, uthibitisho ni nini na unapatikanaje?

Unajibu:

"Kwa sababu uelewi hata unachouliza Wala kujibu".

Umeelewa au umelewa?
 
Back
Top Bottom