Hivi angekuwa ni mama yako, ama kama una mke ni mkeo , au kama wewe ni Binti ni mumeo , utaweza kuandika hayo unayoyaandika ? Au ungekuta wengine wameandika hivyo wakati una msiba ungejisikiaje ? Tuwe japo na huruma wakati huu.........
Watu wa Arusha mmetuma ujumbe
Kweli tupu wana Arusha wanastahili pongezi huu ni ujumbe tosha kwa utawala kuwa pamoja na kuwapiga risasi na mabomu bado wamejitokeza kwa wingi.Watu wa Arusha, Mungu awabariki
Hivi angekuwa ni mama yako, ama kama una mke ni mkeo , au kama wewe ni Binti ni mumeo , utaweza kuandika hayo unayoyaandika ? Au ungekuta wengine wameandika hivyo wakati una msiba ungejisikiaje ? Tuwe japo na huruma wakati huu.........
Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William Moshi, alie uwawa na kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya soweto jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013...
View attachment 98624
View attachment 98625
View attachment 98626
View attachment 98627Marehemu wengine walisafirishwa juzi usiku kuelekea Tanga na Tabora huku jana majeruhi mwingine akiaga dunia kwa bomu na risasi za tarehe 15.06.2013..
CCM mna pesa na majeshi, CHADEMA tuna MUNGU na WATU...hamtatuua wapenda mabadiliko wote nchini...
Hivi angekuwa ni mama yako, ama kama una mke ni mkeo , au kama wewe ni Binti ni mumeo , utaweza kuandika hayo unayoyaandika ? Au ungekuta wengine wameandika hivyo wakati una msiba ungejisikiaje ? Tuwe japo na huruma wakati huu.........
Yaani these few "think tanks" za cdm kweli zimewaweza wana Arusha, kama kuna mtu mwenye kuona mbali basi atakubaliana na mimi!!
Kwanza kabisa walichofanya ni kutafuta sababu ya kuamsha mori ya watu, hii we all know kwamba ili mtu apigane basi lazima awe na sababu otherwise chizi, wameua watu wasio na hatia ili tu waitafutie serikali doa! Wamejitonesha wao kwa wao halafu kwa sababu kuna a big guy on the corner, ambaye wanataka kumtafutia sababu, mwisho wa siku wanampakazia mabaya yao yote ili tu kumchafua!!
Kwa kweli niko calm ila sio siri chadema bakieni huko huko na ujinga wenu wa kuteka akili za watu, mnajifanya mna watu, that bull***t, kumbe ni watu wasiokuwa na elimu ya kujitambua, Mhh na mnawatumia kwelikweli!! Kinachoniuma zaidi ni ile watu,"majority" kutojielewa nao mkumbo wana_support mambo kishabiki, ngoja kesho kutwa waichukue Arusha kweli, muone vijana wenzangu wakaa vijiweni kama mtakula ugali kirahisi rahisi kama mnavyodhani na kuahidiwa!!
Wito wangu cdm acheni kumwaga damu za watu indirectly halafu mnasingizia ni serikali.
Hao project Lumumba majebere na wenzake si ridhiki, waache hawajui watendalo, tamaa yao ya siku moja inawafanya wawe watumwa
Yaani these few "think tanks" za cdm kweli zimewaweza wana Arusha, kama kuna mtu mwenye kuona mbali basi atakubaliana na mimi!!
Kwanza kabisa walichofanya ni kutafuta sababu ya kuamsha mori ya watu, hii we all know kwamba ili mtu apigane basi lazima awe na sababu otherwise chizi, wameua watu wasio na hatia ili tu waitafutie serikali doa! Wamejitonesha wao kwa wao halafu kwa sababu kuna a big guy on the corner, ambaye wanataka kumtafutia sababu, mwisho wa siku wanampakazia mabaya yao yote ili tu kumchafua!!
Kwa kweli niko calm ila sio siri chadema bakieni huko huko na ujinga wenu wa kuteka akili za watu, mnajifanya mna watu, that bull***t, kumbe ni watu wasiokuwa na elimu ya kujitambua, Mhh na mnawatumia kwelikweli!! Kinachoniuma zaidi ni ile watu,"majority" kutojielewa nao mkumbo wana_support mambo kishabiki, ngoja kesho kutwa waichukue Arusha kweli, muone vijana wenzangu wakaa vijiweni kama mtakula ugali kirahisi rahisi kama mnavyodhani na kuahidiwa!!
Wito wangu cdm acheni kumwaga damu za watu indirectly halafu mnasingizia ni serikali.
....Mara zote duniani DAMU YA MTU ISIYOKUWA NA HATIA KAMA HII ....HUWA HAIPOTEI BURE ...............