grandlyimo
Member
- Feb 5, 2012
- 29
- 4
Mungu awatie nguvu wafiwa hii ni njia yetu soote....but what I can tell iko siku moja tuu ukweli utadhihirika...killing innocent people ni kitu hakikukabaliki popote....
Hasa Mwigulu Nchemba anachelea zaidi kwa vile amepata vilema wengi wa kutembea nao majukwaani.
Hatimaye polisi wamemaliza mahojiano na na viongozi wa chadema ndiyo wameingia hapa kanisani.
Yaani these few "think tanks" za cdm kweli zimewaweza wana Arusha, kama kuna mtu mwenye kuona mbali basi atakubaliana na mimi!!
Kwanza kabisa walichofanya ni kutafuta sababu ya kuamsha mori ya watu, hii we all know kwamba ili mtu apigane basi lazima awe na sababu otherwise chizi, wameua watu wasio na hatia ili tu waitafutie serikali doa! Wamejitonesha wao kwa wao halafu kwa sababu kuna a big guy on the corner, ambaye wanataka kumtafutia sababu, mwisho wa siku wanampakazia mabaya yao yote ili tu kumchafua!!
Kwa kweli niko calm ila sio siri chadema bakieni huko huko na ujinga wenu wa kuteka akili za watu, mnajifanya mna watu, that bull***t, kumbe ni watu wasiokuwa na elimu ya kujitambua, Mhh na mnawatumia kwelikweli!! Kinachoniuma zaidi ni ile watu,"majority" kutojielewa nao mkumbo wana_support mambo kishabiki, ngoja kesho kutwa waichukue Arusha kweli, muone vijana wenzangu wakaa vijiweni kama mtakula ugali kirahisi rahisi kama mnavyodhani na kuahidiwa!!
Wito wangu cdm acheni kumwaga damu za watu indirectly halafu mnasingizia ni serikali.
Maajabu mkuu mpaka mkusanyiko wa maziko siku hizi ukaombe ruhusa polisi.....magamba kwishney!!!Leo wale jamaa wanaozuia zuia hawajaomba hapo church wasiagie, maana under ccm any unimaginable can be imagined.
Maajabu mkuu mpaka mkusanyiko wa maziko siku hizi ukaombe ruhusa polisi.....magamba kwishney!!!
Naomba niseme machache kwa wana-Arusha;
- Mmetuwakilisha watanzania kama mlivyofanya mwaka 1967 hapo hapo arusha wakati mwl.anatangaza AZIMIO LA ARUSHA na kusimika miiko ya uongozi
- Mmetuwakilisha kama mlivyotuwakilisha mwaka 1995 kwa kuanza kuwa na wabunge wa upinzani bungeni
- Mmetuwakilisha kama mlivyofanya mwaka 1992 mlipokubali mwana arusha mwenzenu mzee wetu kipenzi Edwin Mtei kuanzisha CHADEMA, Chama hiki ni mali halali ya wanaarusha baada ya kutoa wazo la kuanzishwa chama hiki na katiba iliandikiwa ARURHA
- Mmetuwakilisha vema kama mlivyokubali chuo kikuu cha NELSON MANDELA kujengwa Arusha huyu ni mpigania haki namba moja afrika
- Mmtuwakilisha kama mlivyofanya siku ya kupigwa bomu wakati mkiwa kanisani pale OLASIT na kuendelea kusali hadi milipowazika marehemu.
- mmetuwakilisha sana juzi pale bomu kwa mara ya pili lilipopigwa ktk mkutano wa siasa na hamkuteteleka mliweza kumuokata kipenzi chetu JUDITH MOSHImlijitahidi kumuamsha hamkufanikiwa kwani Mungu alikubali kuchukua roho yake, mlijaribu kufumbua macho wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mungu alaze roho yake mahala pema peponi.
- WANAARUSHA TUWALIPE NINI CHA KUFANANISHA NA KAZI KUBWA MLIOFANYA???????????? HATUONI.MBEGU MLIYOIPANDA MWAKANI ITAZAA NA TUTAVUNA WAKATI WA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA