Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

MUNGU ailaze pema peponi roho ya Marehemu, mpendwa na mpiganaji wetu. AMINA
 
kwa umati huu majibu ni tarehe 30 kama ni kweli uchaguzi utafanyika maana kwa chanzo cha habari ni kuwa CCM na NEC ya JAJI LUBUVA watahahirisha tena mpaka hapo itakapofika 2015
 
Usiombwe upendwe na masikini,kwani upendo wake huwa wa kweli na wadhati popote uendako na yeye atakuwepo,si kwa sababu yalichonacho bali kwakuwa anamapenzi ya dhati kwako.

Tajiri hana upendo kwani mara nyingi hulazimisha kupendwa sababu ya hela yake na madaraka yake kwenye jamii husika,upende usipendi utampenda tu sababu pesa yake ni sabuni ya roho yako.

RIP DADA JUDY
 
The system concedes nothing without demand, for it formulates its very method of operation on the basis that the ignorant will learn to know, the child will grow into an adult and therefore demands will begin to be made. It gears itself to resist demands in whatever way it sees fit. Steve Bantu Biko 1946-1977
 
BlackGold,
Hufanani na jina unalotumia japo tunajua ni bandia. Ni kukosa ujasiri kutumia jina bandia na kubandika postnya kipuuzi kama hii. Ni uchochezi wa Hali ya juu,na ujinga usio na mipaka kufikiria kuwa Chadema wanaweza kujifanyia jambo Kama hili la kujishambulia wenyewe na kujiulia makamanda na wananchi wao. Ni kufilisika kisiasa kuwa na mawazo Kama haya katika siku Kama hii ambako Wanachadema Tanzania nzima, na wapenzi na wananchi kwa ujumla wanamlilia mwenzao, hata kabla hajawekwa kwenye nyumba yake ya milele kuna hayawani kwa kutumia jina bandia ana mawazo ya kipuuzi Kama yako. Jifikirie ndugu yangu! Maisha ya binadamu yana mwisho. Damu ya Judith inamlilia Mungu wake Nina hakika pamoja na upuuzi wako na wenzako Kama wewe Mwenyezi Mungu atawaumbua hadharani Kama ambavyo amefanya katika mazingira yote ya propaganda zenu za kipuuzi. Inaudhi sana. Binadamu kuwa navroho ya kinyama!

QUOTE=BlackGold_;6633958]Yaani these few "think tanks" za cdm kweli zimewaweza wana Arusha, kama kuna mtu mwenye kuona mbali basi atakubaliana na mimi!!
Kwanza kabisa walichofanya ni kutafuta sababu ya kuamsha mori ya watu, hii we all know kwamba ili mtu apigane basi lazima awe na sababu otherwise chizi, wameua watu wasio na hatia ili tu waitafutie serikali doa! Wamejitonesha wao kwa wao halafu kwa sababu kuna a big guy on the corner, ambaye wanataka kumtafutia sababu, mwisho wa siku wanampakazia mabaya yao yote ili tu kumchafua!!
Kwa kweli niko calm ila sio siri chadema bakieni huko huko na ujinga wenu wa kuteka akili za watu, mnajifanya mna watu, that bull***t, kumbe ni watu wasiokuwa na elimu ya kujitambua, Mhh na mnawatumia kwelikweli!! Kinachoniuma zaidi ni ile watu,"majority" kutojielewa nao mkumbo wana_support mambo kishabiki, ngoja kesho kutwa waichukue Arusha kweli, muone vijana wenzangu wakaa vijiweni kama mtakula ugali kirahisi rahisi kama mnavyodhani na kuahidiwa!!
Wito wangu cdm acheni kumwaga damu za watu indirectly halafu mnasingizia ni serikali.[/QUOTE]
 
Walianzisha udini,ukaja ukabila,sasa ugaidi,hivi vyote ni mizigo kwa wananchi wa Tanzania wasio kuwa na hatia
R.I.P Judy,after all people who kill you die and forgotten,you will be remembered amen
 
mkuu pole na majukumu kwa wanaoamini iko siku kutakuwa na demokrasia ya kweli na iko cku wanaopuuza yanayotokea arusha watakuja kujua kuwa ndo kichocheo cha democrasia .yanayotokea arusha ni sababu ya ukiukwaji wa sheria na taratibu kwenye uchaguzi wa Meya.RAI yangu ni vyema kutumia matukio haya kutengeneza documentary ambayo inaweza kutumika kama mafunzo kwa vijana nini adhari ya ukiukwaji wa sheria na pili ikawa kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.Wenye akili na hekima wanajua na wanaelewa haya yanayotokea leo hii.
BlackGold,
Hufanani na jina unalotumia japo tunajua ni bandia. Ni kukosa ujasiri kutumia jina bandia na kubandika postnya kipuuzi kama hii. Ni uchochezi wa Hali ya juu,na ujinga usio na mipaka kufikiria kuwa Chadema wanaweza kujifanyia jambo Kama hili la kujishambulia wenyewe na kujiulia makamanda na wananchi wao. Ni kufilisika kisiasa kuwa na mawazo Kama haya katika siku Kama hii ambako Wanachadema Tanzania nzima, na wapenzi na wananchi kwa ujumla wanamlilia mwenzao, hata kabla hajawekwa kwenye nyumba yake ya milele kuna hayawani kwa kutumia jina bandia ana mawazo ya kipuuzi Kama yako. Jifikirie ndugu yangu! Maisha ya binadamu yana mwisho. Damu ya Judith inamlilia Mungu wake Nina hakika pamoja na upuuzi wako na wenzako Kama wewe Mwenyezi Mungu atawaumbua hadharani Kama ambavyo amefanya katika mazingira yote ya propaganda zenu za kipuuzi. Inaudhi sana. Binadamu kuwa navroho ya kinyama!

QUOTE=BlackGold_;6633958]Yaani these few "think tanks" za cdm kweli zimewaweza wana Arusha, kama kuna mtu mwenye kuona mbali basi atakubaliana na mimi!!
Kwanza kabisa walichofanya ni kutafuta sababu ya kuamsha mori ya watu, hii we all know kwamba ili mtu apigane basi lazima awe na sababu otherwise chizi, wameua watu wasio na hatia ili tu waitafutie serikali doa! Wamejitonesha wao kwa wao halafu kwa sababu kuna a big guy on the corner, ambaye wanataka kumtafutia sababu, mwisho wa siku wanampakazia mabaya yao yote ili tu kumchafua!!
Kwa kweli niko calm ila sio siri chadema bakieni huko huko na ujinga wenu wa kuteka akili za watu, mnajifanya mna watu, that bull***t, kumbe ni watu wasiokuwa na elimu ya kujitambua, Mhh na mnawatumia kwelikweli!! Kinachoniuma zaidi ni ile watu,"majority" kutojielewa nao mkumbo wana_support mambo kishabiki, ngoja kesho kutwa waichukue Arusha kweli, muone vijana wenzangu wakaa vijiweni kama mtakula ugali kirahisi rahisi kama mnavyodhani na kuahidiwa!!
Wito wangu cdm acheni kumwaga damu za watu indirectly halafu mnasingizia ni serikali.
[/QUOTE]
 
Kikubwa mzike salama lakini kila mkiingiza siasa hapa msidhani kina mingoi watakaa kimya.hatimae thread yenu nzuri itafungwa tena.
 
Dr kwa heshima yako na tunu uliyonayo kwa Taifa hili,wala usingekuwa unajibu comments za watu kama BlackGold kwani hapo alipo hata dhamira yake inamsuta kwa yote anayoyasema,hakuna mtu alietayari kuua wananchi wake kisa kujulikana,na kama chadema ingekuwa haijulikani basi viongozi wa serikali wasingetumia nguvu kubwa kuidhibiti,nakuomba sana Dr ujiepushe na haya majibizano ya humu ndani,najua unamaumivu makubwa sana ila jikaze tu kimoyo moyo,ongozwa na maandiko zaidi kuliko hisia.

Binadamu hatufanani,kuna wengine wanajua yalipo maduka ya viungo vya binadamu,moyo,mikono,miguu,na hata vichwa ila sisi hatujui ndiyo maana tunayofanyiwa tunamwachia alietupa viungo hivyo bure"tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu"asante kwa ushirikiano wako
 
Back
Top Bottom