Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Judy ni shujaa,
amefia chama.
R.I.P Judy

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
R.I.P kamanda Judy William, watanzania wapenda mabadiliko tutakukumbuka daima na tunaendelea na mapambano hadi kieleweka.
 
kisasi kimeruhusiwa maana jicho kwa jicho na jino kwa jino. Aliyeuwa na yeye auwawe tu familia yake na wao waone uchungu

n asikia maaskofu wanakataa hukumu ya kifo. Na kiliyo chao kimesikika kwenye rasimu ya katiba
 
Picha za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William Moshi, alie uwawa na kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya soweto jijini Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013, uchaguzi ambao ulikuwa ufanyike tarehe 16.06.2013...
1.jpg
2.jpg
3.jpg
4.jpg Marehemu wengine walisafirishwa juzi usiku kuelekea Tanga na Tabora huku jana majeruhi mwingine akiaga dunia kwa bomu na risasi za tarehe 15.06.2013..
CCM mna pesa na majeshi, CHADEMA tuna MUNGU na WATU...hamtatuua wapenda mabadiliko wote nchini...
 
Tuko kwenye msafara kuelekea sokoni I kwenda kumpumzisha ndugu, mpendwa wetu Judy William,nitawaletea kitakachokuwa kinajili.
.

Poleni sana ndugu kwa kuondokewa na mpendwa Judy, najua kwa kuwa kifo kimesababishwa hira za akina Mwigulu & co. Mungu atawalipa kwa walichokifanya.

Vipi mwenyekiti Mh. Mbowe na Mh. Lema wameachiwa?
 
Kama kungekuwa na uwezekano , mikusanyiko yote ya CDM kuwekwe cctv cameras maana hata huko kwenye msiba hawatashindwa kutupa bomu hawa jamaa ili ionekane kuwa ndani ya CDM kuna kundi la kigaidi.
Hayo ni maoni yangu
 
Mwisho wa ubaya aibu. Wananchi wanaona na kuchambua yote yanayotendeka. Siku moja wataamua.
 
tunawakia umoja na mshikamano watu Arusha hasa wakati mgumu Kama huu.

R.I.P kamanda, mapambano bado yanaendelea.!!!
 
Najua wapo mamia ya watanzania pia ambao wanazikwa sehemu mbalimbali leo hii. Judith anasindikizwa na sala nyingi sana Tanzania nzima.
Kuna siku aliyerusha bomu nae atakuwa anapelekwa makaburini. Death is natural...
 
Kwakweli inatia moyo kuona wana wa arusha hawatenganishwi na nguvu za dola, hawatenganishwi ka mabomu wala risasi za moto!

Watu wa Arusha ni wamoja.
Mungu atusaidie sana
 
tunawakia umoja na mshikamano watu Arusha hasa wakati mgumu Kama huu.

R.I.P kamanda, mapambano bado yanaendelea.!!!
Pamoja sana kamanda..Hawatatumaliza na kamwe hatuta rudi nyuma.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naamini ipo siku Arusha italeta ukombozi na ndio itatusaidia kuondoka kifungoni. Just look at thr people having hopes that one day CCM will go away.
 
Au watasema wa2 wameanza kuandamana tena bila kibali? Chagonja apo vipi?
 
Back
Top Bottom