Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

If dem want to win the revoloution
Must win it, wit rasta!
Can't win no other way
Because if you win other way, you go fight again
If rasta win, den no more war
 
Muitunze familia yake sasa, sio mazishi yakiisha muwasahau.
Huu si wakati wa kufanya kejeli wakati watu tuna machungu ya kuondokewa na mwenzetu aliyejitoa kwa hali mpaka kifo kupigania ukombozi katika nchi hii.
 
CCM mna pesa na majeshi, CHADEMA tuna MUNGU na WATU...hamtatuua wapenda mabadiliko wote nchini...
Asante Crashwise kwa picha, pamoja na Pinda kuruhusu polisi kuua lakini hawatatumaliza wote atakayebaki ndiye atatuwakilisha.
 
Last edited by a moderator:
Naomba niseme machache kwa wana-Arusha;
  • Mmetuwakilisha watanzania kama mlivyofanya mwaka 1967 hapo hapo arusha wakati mwl.anatangaza AZIMIO LA ARUSHA na kusimika miiko ya uongozi
  • Mmetuwakilisha kama mlivyotuwakilisha mwaka 1995 kwa kuanza kuwa na wabunge wa upinzani bungeni
  • Mmetuwakilisha kama mlivyofanya mwaka 1992 mlipokubali mwana arusha mwenzenu mzee wetu kipenzi Edwin Mtei kuanzisha CHADEMA, Chama hiki ni mali halali ya wanaarusha baada ya kutoa wazo la kuanzishwa chama hiki na katiba iliandikiwa ARURHA
  • Mmetuwakilisha vema kama mlivyokubali chuo kikuu cha NELSON MANDELA kujengwa Arusha huyu ni mpigania haki namba moja afrika
  • Mmtuwakilisha kama mlivyofanya siku ya kupigwa bomu wakati mkiwa kanisani pale OLASIT na kuendelea kusali hadi milipowazika marehemu.
  • mmetuwakilisha sana juzi pale bomu kwa mara ya pili lilipopigwa ktk mkutano wa siasa na hamkuteteleka mliweza kumuokata kipenzi chetu JUDITH MOSHImlijitahidi kumuamsha hamkufanikiwa kwani Mungu alikubali kuchukua roho yake, mlijaribu kufumbua macho wapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mungu alaze roho yake mahala pema peponi.
  • WANAARUSHA TUWALIPE NINI CHA KUFANANISHA NA KAZI KUBWA MLIOFANYA???????????? HATUONI.MBEGU MLIYOIPANDA MWAKANI ITAZAA NA TUTAVUNA WAKATI WA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
 
polis wame muondolea huyu mama haki yake ya kuishi... tanzania tuna elekea wapi jamaniii
 
Muitunze familia yake sasa, sio mazishi yakiisha muwasahau.

hapo utaakuwa umejisikia aibu au wivu , hawa jamaa wa arusha inakuwaje pamoja na mabomu na risasi lakini bado kwa umoja wao wapo tu na chadema yao.
 
kauli ya mwigulu imetimia kuwa wakienda kwenye mikutano ya chadema watakufa
 
Back
Top Bottom