Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Au watasema wa2 wameanza kuandamana tena bila kibali? Chagonja apo vipi?
Mkuu watanzania wa kawaida kuandamana ni jadi yao! Watoto wanapotoka nyumbani kwenda shule ni maandamano, tunapotembea barabarani kwenda kutafuta riziki ni maandamano!
Namshangaa Nape anasema watu wa Arusha wamechoka maandamano, kwani amewanunulia usafiri?
Tutaandamana sana
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums