Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

Muitunze familia yake sasa, sio mazishi yakiisha muwasahau.
 
CCM can't occupy Arusha hata iweje!! Rest In piece wote
 
Alisema Mwigulu kuwa wasipoichagua ccm watakufa! Na hapo walikuwa hata hawajapiga kura ...imeandikwa kuwa auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga, sasa sijui auaye kwa bomu inakuwaje!!

Hii ni ishara kuwa watu wa Arusha pamoja na mauaji na vitisho bado hawajaingiwa woga bali wameongezewa confidence
 
Muitunze familia yake sasa, sio mazishi yakiisha muwasahau.
Hivi angekuwa ni mama yako, ama kama una mke ni mkeo , au kama wewe ni Binti ni mumeo , utaweza kuandika hayo unayoyaandika ? Au ungekuta wengine wameandika hivyo wakati una msiba ungejisikiaje ? Tuwe japo na huruma wakati huu.........
 
Kwakweli inatia moyo kuona wana wa arusha hawatenganishwi na nguvu za dola, hawatenganishwi ka mabomu wala risasi za moto!

Watu wa Arusha ni wamoja.
Mungu atusaidie sana

Poleni sana tupo pamoja.
 
nimejifunza mengi kutoka na watu wa Arusha..hakika polisi inabidi wajifikirie mara mbili maana walitegemea wanaarusha wangeanza kuwa waoga na kuogopa kuishabikia chadema ila mambo yamekua kinyume kwani wana arusha ndo wameshikamana zaidi na kuzidi kukiunga mkono chama cha ukombozi chadema..polisi mtauwa wangapi?? hivi watu wa arusha wakiamua kulipiza kisasi mtaishi kweli? nimeipenda spirit na mshikamano wa watu wa arusha natumai kwa umoja wenu mikoa mingine itaamka.. R.I.P KAMANDA....
 
We acha tu ndugu yangu hawa Waarusha wanatia moyo sana kwa msimamo wao madhubuti dhidi ya Serikali dhalimu.


Kwakweli inatia moyo kuona wana wa arusha hawatenganishwi na nguvu za dola, hawatenganishwi ka mabomu wala risasi za moto!

Watu wa Arusha ni wamoja.
Mungu atusaidie sana
 
Enyi Utawala wa CCM, umati huo wote wa wananchi ni wajinga na wakorofi ila nyie ndio wenye haki katika nchi hii
 
Message sent kwa Pinda na Amri yake ya leo, polisi ruksa kuuwa.

Huu ni ujumbe watu hawaogopi kufa, ajaribu gear nyingine!

Pamoja sana Kamanda Judith, tunakulilia, tangulia, salamu kwa wote, Bob Makani, Shilembi na wengine, waambie mapambano yanaendele, bado dakika5 kieleweke- Dalili zinaonyesha wakati wowote tunaingia magogoni.
RIP Mama Judith
 
Mungu hatoiacha CHADEMA kamwe! MUNGU amlaze mahali pema peponi AMINA.
 
Hasira zangu zimewaka sana nafikiria kuchukua silaha yoyote ile na kuwakabili hawa maaluni single handed ,..tunawaacha hadi lini??
 
Mungu wa Mbinguni tunusuru na utawala huu wa WA MISRI kwetu sisi waamini wa Mungu wa Israel!
 
Hasira zangu zimewaka sana nafikiria kuchukua silaha yoyote ile na kuwakabili hawa maaluni single handed ,..tunawaacha hadi lini??
Silaha ziko kibao, wewe chukua moja kama kesho hayakufanyika mazishi mengine, Pinda kishatoa amri, anasema PIGA.
 
Kwani Polisi na ccm wanajisikiaje wanapoona wananchi wengi hivyo wamejitokeza leo kwenye mazishi hata baada ya mabomu ya kuua, ya machozi na risasi za moto?
Zoezi lao la kutujengea hofu limefeli, watafute njia nyingine...
 
Back
Top Bottom