yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,104
Nyie hangaikeni tu, mnadhani Mbowe hazitaki milioni kumi za Lukuvi? Ngoma nzito ndiyo maana video ya chadema imebanwa wamegundua hailipi.
Maisha ya binadamu mumeyageuza dili ------- zako.
Nyie hangaikeni tu, mnadhani Mbowe hazitaki milioni kumi za Lukuvi? Ngoma nzito ndiyo maana video ya chadema imebanwa wamegundua hailipi.
Tazama, sikiliza vizuri maneno ya askofu halafu acha mahaba ya kimagaidi ya ccm.askofu anatumika kisiasa huyu